Ukiweza kuishi na watu, Umekubali kuwa mtumwa

Unawaza kwa sauti sana Mkuu, Haya mambo bhana yanewahi nifanya nikaongia gharama ya kununua shock up mbili Mpya kisa tu kuwaridhisha Raia waliokuwa wanaenda kwenye Msiba ...!
 
Shida ipo pale ambapo unakuwa unapendwa na kila mtu bila hata wa kukuchukia/maadui,UNAKASORO mku
Kwahiyo unamaanisha ukiwa na kasoro utapendwa sana na watu
Na ukiwa huna utachukiwa si ndio???
Ni sababu zipi zinazopelekea watu kumchukia asiyekuwa na kasoro na kumpenda yule mwenye kasoro??
 
Mkuu watu wa namna hii mbona hawawi na mafanikio sana? na badala yake wanakuwa nayo wale wasiojali wengine.
mafanikio ya mali si lengo lililotuleta hapa duniani.

ndio maana ukaambiwa ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kiingia ufalme wa mbinguni,maana utajiri ni kujilimbikizia mali.

tajiri yeyote ni mbinafsi ndipo anakuwa na mali.
 
Kupanga ni kuchagua ukitaka kuishi ambayo hujui nn unakifanya ishi bila kujifanyia tathimini kwenye mambo unayoyafanya mara kwa mara tenga muda wa kujifanyia tathimini kujipima kujitafakari wewe mwenyewe utapata majibu mazuri ya swali la hii topic
 
Ni kweli kabisa ukitaka kupendwa hichi kama wanavyo taka ,lakini kumbuka maandiko yanasema kila kitu kifanyike kwa kiasi.Binadamu hawana jema utafanya hili ,lile siku ukikosea kidogo tu yale yote mazuri uliotenda hawakubuki tena kina msomi mmoja anasema "I DONT KNOW A SECRETE TO SUCCESS BUT A KEY TO FAILURE IS TO PLEASE AVERY ONE" kanuni ni kwamba tuishi kwa mipaka hapa duniani ,wakati flani hata kuchukiwa na baadhi ya watu ni mlango wa mafanikio .Kwa nini utake upendwe na kila mtu ,wewe ni nani?
 
Kuishi kama watu wanavyotaka ni hatari katika afya yako ya akili, ishi kama unavyotaka. Mf. Aje mgeni bila taarifa, umpe chakula cha mtoto ili ionekane unaishi vizuri na watu!! Ni upuuzi uliokubuhu! Let us change our attitude.
 
Hi everybody ....

Kumekuwa na kawaida ya

Watu wapole wanaokubali kila wanachoambiwa bila kupinga ...wanajua kuishi na watu

Watu wenye kutoa msaada muda wote pindi inavohitajika kufanya hvyo...wanajua kuishi na watu

Watu wanaofanya yale yanayowapendeza wengine machoni wanajua kuishi na watu

Watu wenye utii wa hali ya juu kwa kila wanachoambiwa ...wanajua kuishi na watu

Watu wanaojitoa sana ...wanajua kuishi na watu...n.k ..

Yani ukiweza kufanya yale yanayo wafurahisha wengine bila kujali yanakuumiza kwa namna gani , yatakuingizia hasara kiasi gani, Yanakuathiri kiasi gani
Jamii itakuchukulia kuwa unajua kuishi na watu , Ila ukienda kinyume nao basi hujui kuishi na watu

Hii mentality imejengeka kwenye Jamii na kupelekea watu kufanya hata yale yanayowaumiza ilimradi tuu aonekane kuwa ana roho nzuri ,ana Utu, anajali ,bila kuangalia anagharamika kiasi gani

Ukiishi kwa kufuata misingi yako ujiandae kukosolewa ,kutopendwa na hata kufanyiwa mambo mabaya kwa makusudi

Ukitaka kuridhisha kila mtu ..Ujue umekubali kuwa mtumwa
Nahisi kama ndio UTanzania, maana hata haki zetu hatuzisimamii ipasavyo. Kila siku kodi na tozo zisizoeleweka tunatwezwa na tuko kimya, tunabanwa haki ya habari, kukutana na kufanya shughuli za kisiasa, tuko kimya. Tunaipendezesha serikali isiyotujali.
 
Hi everybody ....

Kumekuwa na kawaida ya

Watu wapole wanaokubali kila wanachoambiwa bila kupinga ...wanajua kuishi na watu

Watu wenye kutoa msaada muda wote pindi inavohitajika kufanya hvyo...wanajua kuishi na watu

Watu wanaofanya yale yanayowapendeza wengine machoni wanajua kuishi na watu

Watu wenye utii wa hali ya juu kwa kila wanachoambiwa ...wanajua kuishi na watu

Watu wanaojitoa sana ...wanajua kuishi na watu...n.k ..

Yani ukiweza kufanya yale yanayo wafurahisha wengine bila kujali yanakuumiza kwa namna gani , yatakuingizia hasara kiasi gani, Yanakuathiri kiasi gani
Jamii itakuchukulia kuwa unajua kuishi na watu , Ila ukienda kinyume nao basi hujui kuishi na watu

Hii mentality imejengeka kwenye Jamii na kupelekea watu kufanya hata yale yanayowaumiza ilimradi tuu aonekane kuwa ana roho nzuri ,ana Utu, anajali ,bila kuangalia anagharamika kiasi gani

Ukiishi kwa kufuata misingi yako ujiandae kukosolewa ,kutopendwa na hata kufanyiwa mambo mabaya kwa makusudi

Ukitaka kuridhisha kila mtu ..Ujue umekubali kuwa mtumwa
Jifunze upendo chalii..acha ubinafsi. Wewe unasumbuliwa na ubinafsi. Wewe unataka kuiga maisha ya kizungu ya uchoyo na ubinafsi.
 
Kuishi kama watu wanavyotaka ni hatari katika afya yako ya akili, ishi kama unavyotaka. Mf. Aje mgeni bila taarifa, umpe chakula cha mtoto ili ionekane unaishi vizuri na watu!! Ni upuuzi uliokubuhu! Let us change our attitude.
Very true mkuu
 
Ni kweli kabisa ukitaka kupendwa hichi kama wanavyo taka ,lakini kumbuka maandiko yanasema kila kitu kifanyike kwa kiasi.Binadamu hawana jema utafanya hili ,lile siku ukikosea kidogo tu yale yote mazuri uliotenda hawakubuki tena kina msomi mmoja anasema "I DONT KNOW A SECRETE TO SUCCESS BUT A KEY TO FAILURE IS TO PLEASE AVERY ONE" kanuni ni kwamba tuishi kwa mipaka hapa duniani ,wakati flani hata kuchukiwa na baadhi ya watu ni mlango wa mafanikio .Kwa nini utake upendwe na kila mtu ,wewe ni nani?
Uko sahihi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom