Ukiwahiwa unafanya kazi!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,335
Kuna wakati madaktari wa nchini India walimudu kurejesha uume wa kijana mmoja aliyefumaniwa na kukatwa sehemu zake za siri, na hivi sasa uume huo unafanya kazi kama kawaida.

Kijana huyo aliyekuwa na umri wa miaka 18 wakati huo, Jagdish Jivan Baria, alikwenda kuzini wakati akitokea hekaluni kusali, ambapo alifumaniwa. Wafumaniaji akiwemo mwenye mke walimpiga kijana huyo na kukata uume wake.

Waliukata uume huo walikimbia nao, mmoja wao akiwa ameutia mfukoni. Hebu fikiria, mtu anakata uume wa mtu kisha anauweka mfukoni mwa suruali yake nakukimbia nao!

Hata hivyo wazazi wa kijana huyo waliwahi kutoa taarifa polisi, ambapo uume huo ulipatikana. Ulipopatikana waliuweka kwenye mfuko wa nailoni na kuuweka kwenye jokofu.

Ushonaji wa uume huo ulifanywa ikiwa imepita saa 13 tangu ukatwe. Daktari aliyefanya ushonaji huo ambao ulichukua saa tisa, Sandil Sharma alisema, kama ‘kitu' cha mwanaume kikiwahiwa kuhifadhiwa kwenye jokofu baada ya kukatwa, ushonaji wa kukirudishia unakuwa rahisi.

Hadi kufikia mwaka 2007 duniani kote ushonaji wa kurejesha sehemu za siri zilizokatwa, umefanyika kwa mafanikio mara 47 tu, hii inaonesha ni kwa kiasi gani ushonaji wa kurejesha sehemu za siri za mwanaume zinapokatwa , una ugumu wake.
 
Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,862
1,266
Kuna wakati madakatari wa nchini India walimudu kurejesha uume wa kijana mmoja aliyefumaniwa na kukatwa sehemu zake za siri, na hivi sasa uume huo unafanya kazi kama kawaida.

Kijana huyo aliyekuwa na umri wa miaka 18 wakati huo, Jagdish Jivan Baria, alikwenda kuzini wakati akitokea hekaluni kusali, ambapo alifumaniwa. Wafumaniaji akiwemo mwenye mke walimpiga kijana huyo na kukata uume wake.

Waliukata uume huo walikimbia nao, mmoja wao akiwa ameutia mfukoni. Hebu fikiria, mtu anakata uume wa mtu kisha anauweka mfukoni mwa suruali yake nakukimbia nao!

Hata hivyo wazazi wa kijana huyo waliwahi kutoa taarifa polisi, ambapo uume huo ulipatikana. Ulipopatikana waliuweka kwenye mfuko wa nailoni na kuuweka kwenye jokofu.

Ushonaji wa uume huo ulifanywa ikiwa imepita saa 13 tangu ukatwe. Daktari aliyefanya ushonaji huo ambao ulichukua saa tisa, Sandil Sharma alisema, kama ‘kitu’ cha mwanaume kikiwahiwa kuhifadhiwa kwenye jokofu baada ya kukatwa, ushonaji wa kukirudishia unakuwa rahisi.

Hadi kufikia mwaka 2007 duniani kote ushonaji wa kurejesha sehemu za siri zilizokatwa, umefanyika kwa mafanikio mara 47 tu, hii inaonesha ni kwa kiasi gani ushonaji wa kurejesha sehemu za siri za mwanaume zinapokatwa , una ugumu wake.

teh teh teh kaazi kweli kweli!
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,203
1,649
M2 kama huyo akikutana na mwanamke w kitanga 6x6 mauno yake si mshono utafumuka!!
 
Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,237
13,378
kwa umri huo ameshaanza kufumaniwa/kukatwa akifikisha 30 na wale wasaidizi watakuwa wamenyofolewa.........ana bahati ulipatikana na upo online.............dunia ina mambo
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
31,121
46,323
20130729_175642.jpg
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
31,121
46,323
Doctors do miracles with amputated penises

08.11.2004 | Source: Pravda.Ru
Indian doctors managed to sew back a man's penis 13 hours after it had been chopped off by a jealous husband.
The surgery lasted 9 hours. Further examinations, which took a place a month later, revealed that the 18-year-old Jagdish Jivan Baria from the Indian state of Gujarat has not even lost his "manly talents". Up until today, there's been only 47 successful operations of this kind in the whole world (including Russia).
The young man was on his way from a mess at a local temple when he got attacked by an Indian Othello. The latter, along with several of his friends, has amputated the poor man's reproductive organ and escaped with a penis in his pocket.
Doctor Sandil Sharma, who dicrected the course of the entire surgery, stated the following in his interview to the "Times of India": "Fortunately, the boy's parents were fast enough to call the police and the paramedics. The amputated organ had been momentarily confiscated, placed in a plastic bag in a fridge. This allowed for the organ to remain in good condition for the operation."

- See more at: Doctors do miracles with amputated penises - English pravda.ru
 
Werrason

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
12,328
38,150
Unamfanya atende dhambi...mtu anatoka ibadani anapitiliza dhambini hii haki kweli?

Mh! Khantwe acha roho mbaya! Mjegeja wa mwenzie kaukata then kakimbia nao! Hataki mwenzie ale raha duniani!!! Kichapo kingemtosha!!! Gegedo angemwachia
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom