Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,147
- 4,208
Age ya 22-35yrs wengi wa huu umri ndio wategemewa kwa kuendesha uchumi wa eneo husika kwa maana ya nguvu kazi ila kwa Tanga hii age wanaopambana wengi ni wanawake angalia kwenye manunuzi ya matunda shamba to mjini|mkoani market wadada wa kitanga wanahusika sana kuliko vijana wa kiume pili vijana wa kiume wa umri huo wengi wamejikita kwenye shughuli nyepesi kama kuendesha pikipiki AISEE UKIWA TANGA Hakuna kero kubwa kama ya kuitwa kutumia usafiri wa pikipiki cha ajabu wadada wengi hutembea kwa miguu kuliko wanaobebwa kwenye pikipiki ni vijana wa kiume KIFUPI kuanzia kabuku to TNG wengi ni wadada anzia barabarani mpaka biashara zinazokutanisha wageni hapo wanawake wanapercentage kubwa sana pia segera to Tanga Hii nayo vile vile ingia huko Bush mkaa matunda wengi n wanawake hii barabara ya Horohoro to TANGA hii road imejaa wengi wanawake wapambanaji ila wenye kofia mbili katika biashara yao