Ukiwa tajiri sana mali zako wanazifurahia wengine

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Hebu fikiria mtu mmoja anamiliki kampuni kubwa au magari, ndege, meli maghorofa, nk.

Wafurahiao na kuyafaidi hayo mavitu ni wapambe na wafanyakazi wake.

Hebu fikiria labda ana ndege kadhaa wanaokula raha ni hao marubani wake na wafanyakazi wengine, maana sio kila sehemu ndege iendako naye atakuwepo.
 
Mhubiri 5 :11-12

Mali yakiongezeka, hao walao nao waongezeka na mwenyewe hufaidiwa nini, ila kuyatazama kwa macho yake tu?

Usingizi wake kibarua ni mtamu, kwamba amekula kidogo, au kwamba amekula kingi; lakini kushiba kwake tajiri hakumwachi kulala usingizi.
 
Hivyo kwako ni bora kuwa mtu wa karibu wa tajiri (chawa) ama kuwa tajiri?
 
Back
Top Bottom