Ukiwa safarini ukakutana na vitu hivi utafanyeje?

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,113
3,489
Upo safarini usiku mnene, uko peke yako, unakatiza mapori mara hamaad. Unakutana na vitu kama hivyo barabarani.

Utafanyaje?

FB_IMG_1690806175872.jpg
 
Upo safarini usiku mnene, uko peke yako, unakatiza mapori mara hamaad. Unakutana na vitu kama hivyo barabarani.

Utafanyaje?

View attachment 2707516
kipindi kigumu sana hiki.. vizuri kama mtu wa safari za usiku tembea na cha moto mzee baba . hapo ni kujaribu bahati yako . ugeuza kama utaweza au upite kati kati ya hizo mbao za misumali mbili kama una control unapita vizuri sana
 
kwa mzoefu wa misala hapo unapita vizuri sana.. hutoboi hata tyre... but usalama kabla ya kutembe usiku ujue njia upitazo na tabia zake, ila cha moto muhimu sana kama mtu wa safari za usiku watu wabaya sana siku hizi..
Mara nyingi kwenye situation kama hizi ukiwa na chamoto uwezekano wa wewe kuuawa unaongezeka maradufu kuliko ukiwa huna. Ukiwa huna cha moto sanasana watakuibia na kukupiga unless wawe ni vibaka tu na sio wazee wenyewe wa kazi. Kama ni wenyewe lazima wakuwahi.
 
sure, na ndio maana kabla hujapiga safari za usiku ujue tabia na matukio ya barabara husika.. mfano hiyo haraka haraka ni vibaka.. wazee wa kazi huwa wanakupiga na full gingi.. huchomoi.. ila walio weka hapo kama hawajiamini pia
 
Back
Top Bottom