Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,371
- 29,937
Kutokana Phase two list ya mheshimwa wa mji
Nimekaa nmewaza tu hapa na hii njaa yangu ya mchana huu kama wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa Chadema, Team yako ni Dar Young African na Kanisa lako ni la Ufufuo na uzima sa hvi kichwa chako kinawaza nin kwa pamoja sa hvi.