Ukiwa ni mshabiki wa hivi vitu vitatu unajisikiaje? (Yanga, Chadema. Ufufuo na Uzima)

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
11,192
Likes
22,288
Points
280

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
11,192 22,288 280
Kutokana Phase two list ya mheshimwa wa mji
Nimekaa nmewaza tu hapa na hii njaa yangu ya mchana huu kama wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa Chadema, Team yako ni Dar Young African na Kanisa lako ni la Ufufuo na uzima sa hvi kichwa chako kinawaza nin kwa pamoja sa hvi.
 
makedonia

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
1,741
Likes
585
Points
280

makedonia

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
1,741 585 280
Kutokana Phase two list ya mheshimwa wa mji
Nimekaa nmewaza tu hapa na hii njaa yangu ya mchana huu kama wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa Chadema, Team yako ni Dar Young African na Kanisa lako ni la Ufufuo na uzima sa hvi kichwa chako kinawaza nin kwa pamoja sa hvi.
Mbona poa tu.....mbona moize katumbi walimkikimisha lakini vijana wake TP mazembe walichukua NDOO ya shirikisho.....tuje kwa Gwajima naye ni sawa na yule wa WATASHINDANAAAAAA issue ilibamba lakini mpaka Leo kanisa ni nyomi.......mzee wa BILLS naye ni suala la muda tu....usiogope
 
Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
11,192
Likes
22,288
Points
280

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
11,192 22,288 280
Mbona poa tu.....mbona moize katumbi walimkikimisha lakini vijana wake TP mazembe walichukua NDOO ya shirikisho.....tuje kwa Gwajima naye ni sawa na yule wa WATASHINDANAAAAAA issue ilibamba lakini mpaka Leo kanisa ni nyomi.......mzee wa BILLS naye ni suala la muda tu....usiogope
Asante kwa kudadavua mkuu acha nikale kwanza labda ilikua njaa tu
 
kichaula

Senior Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
114
Likes
82
Points
45

kichaula

Senior Member
Joined Jul 14, 2015
114 82 45
Kutokana Phase two list ya mheshimwa wa mji
Nimekaa nmewaza tu hapa na hii njaa yangu ya mchana huu kama wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa Chadema, Team yako ni Dar Young African na Kanisa lako ni la Ufufuo na uzima sa hvi kichwa chako kinawaza nin kwa pamoja sa hvi.
Kutaja ni swala jengine na kuthibitisha ni swala jengine!!
 
Msomi hewa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Messages
484
Likes
607
Points
180

Msomi hewa

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2016
484 607 180

*Kufuatia Kutajwa kwa Mdhamini Wa Club ya Yanga Fc Ndugu Yusuph Manji Katika Orodha ya Washukiwa Wa Madawa ya Kulevya Idara Ya Polisi Wakishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul C Makonda Imewataka Mashabiki wote Wa Club Ya Yanga Waripoti Kituo Cha Polisi siku ya Ijumaa Kwa Mahojiano Zaidi*

Yanga a.k.a Ngada Fc
Jaman mimi Simba damu
 
Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
11,192
Likes
22,288
Points
280

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
11,192 22,288 280

*Kufuatia Kutajwa kwa Mdhamini Wa Club ya Yanga Fc Ndugu Yusuph Manji Katika Orodha ya Washukiwa Wa Madawa ya Kulevya Idara Ya Polisi Wakishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul C Makonda Imewataka Mashabiki wote Wa Club Ya Yanga Waripoti Kituo Cha Polisi siku ya Ijumaa Kwa Mahojiano Zaidi*

Yanga a.k.a Ngada Fc
Jaman mimi Simba damu
Wakikusikia wenyewe watakuja moto sana humu
 
sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Messages
1,624
Likes
706
Points
280
Age
29

sajumo

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2013
1,624 706 280
Hili movie wacha ninunue karanga niendelee Kyla flavour ingawa Bahia haina mwisho mzur wanajaribu kuwagusa untouchable n swala la Muda tu let's wait
 
Forum statistics

Threads 1,189,542
Members 450,716
Posts 27,639,676