Ukiwa na Wahindi usile nyama ya ng'ombe urafiki utaisha

Kula nyama ya hii kitu
tapatalk_1580642052093.jpeg


dodge
 
Kwanza inawezekanaje kuwa na urafiki na mhindi ?

Labda kama una pesa au madaraka anayoona yanaweza kumsaidia kwa namna fulani.
 
WALIO WENGI HAWALI KABISA
WAHINDU HAWALI KABISA
Kwenye kubeba box nilikuwa na marafiki wangu wengi tu wanakula. Hawazingatii tena sana kama zamani hasa kwa vijana. Walikuwa wanasema wakiwa kwao hawali lakini wakichepuka wanakula kama kawaida.
 
Back
Top Bottom