Ukiwa na safari moja na mwanamke jiandae kuchelewa

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Vinginevyo kama umepanga kuondoka SAA 1 mwamshe saa 11 asubuhi, vinginevyo utachelewa tuu, mtagombana tuuuu,
Kwani nini kinawasibugi wadada?
 
Mkuu, asubuhi yote hii? Au umecheleweshwa leo. Hiyo ni moja ya hulka za wadada, huwa hawamalizi maandalizi, uwage tu mpole vinginevyo mtagombana daily
 
Dawa yake ni ndogo sana we mjulishe aanze kujiandaa masaa mawili kabla au la sivyo muda ukifika we ondoka atakuja mwenyewe anakimbia
 
Mkuu, asubuhi yote hii? Au umecheleweshwa leo. Hiyo ni moja ya hulka za wadada, huwa hawamalizi maandalizi, uwage tu mpole vinginevyo mtagombana daily
Dah aisee hili ni jipu
 
Wana kazi hawa dada zetu...Atachukua gauni hili atalipasi atavaa atajigeuza kwenye dressing table ghafla utamuona analivua anaanza kutafuta nguo ingine..Ukimuuliza kwa nini amevua lile anakwambia nimegundua haliendani na rangi ya lipsi.....
 
Ukimwamsha hiyo saa 11 atakataa kuamka, hiki sijui Ni nn, hemu dada mmoja atueleweshe!!!!

Vinginevyo kama umepanga kuondoka SAA 1 mwamshe saa 11 asubuhi, vinginevyo utachelewa tuu, mtagombana tuuuu,
Kwani nini kinawasibugi wadada?
 
Mwanamke hata kama ni mke wako, mfanye kama mtoto wako hapo mtaishi vizuri
Kwahiyo umfanye kama mtoto wako uchelewe kazini,ufukuzwe kazi ili ukae nyumbani wajanja waanze kujichuulia kiulaini,acha hizo mkuu,to them sometimes you have to be aggressive otherwise mambo hayatakwenda.
 
Hujaelewa mkuu, ila utaelewa taratibu, timiza majukumu yako kama kawaida ila mke mchukulie kama mtoto wako
 
Vinginevyo kama umepanga kuondoka SAA 1 mwamshe saa 11 asubuhi, vinginevyo utachelewa tuu, mtagombana tuuuu,
Kwani nini kinawasibugi wadada?
Huwa hatuangalii ametumia mda gani kujiandaa... bali amependezaje. Wewe endelea kumwamsha mapema apate mda wa kutosha kujiandaa. Sio unamkurupua kama nguruwe.
 
bora hata mwanamke awe mzito kujiandaa kuliko mwanaume kuwa mzito, ukimuona mwanaume wa hivyo ujue hata baadhi ya mambo ya muhimu ya kiume hawez vizur.
 
35faf81841d4366716de5225d14c595e.jpg
 
Back
Top Bottom