PostGE2025 Ukiwa na mikono yenye damu, meza ya maridhiano inakukataa automatically

PostGE2025 Ukiwa na mikono yenye damu, meza ya maridhiano inakukataa automatically

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Itatangulizwa hela hapo....wewe acha tu badala ya hiyo hela kutumia kutoa fidia kwa wahanga wa mauaji wanaenda kupewa kina Jaji Chande na wenzake waendelee kula Mema ya nchi na kuendelea kustaafu vizuri
Ripoti kuhusu kuuawa Alli Kibao imekaliwa,

Kuunda tume ya aina Ile Ile ni kudharau watz.

Ipo siku, siku yaja.
 
Kwa hiyo unamtaka Tundu na Kitima na Heche ndiyo waandae maridhiano?? You are joking!!

Nyinyimetaka luchoma nchi tarehe 29/10 na tunajuwa mlikuwa na ushirikiano kati ya CHADEMA, Gwajima, Maria Sarungi na MangeKimambi katika kupnga na ku-finance Qakenya wa kuanzisha fujo za uharibifu ili Watanzania wadandie kwenye huo uhayawani.

Kama hamtaki maridhiano KWENDRAAAAA
Mke mdogo wa Abdul unahangaika sana
 
Mzee Warioba, kataa ushirika na wauwaji.

Meza ya maridhiano imewakataa wote wenye damu mikononi.
 
Chawene, maridhiano yalikuwa before 29 Oct.

Hivi sasa ni ukurasa mwingine kabisa.
 
Back
Top Bottom