Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Hakuna kitu kizuri kama kutoa machozi ukiwa umekasirika. Lile donge linalokaba kooni linamelt saa hiyo hiyo.
Mara dakika moja watu wameshakuja kugonga mlango tena wanauliza "bado tu"
Ha ha ha no boss, naishi kwa house yangu self na ina ac lol.....Boitylicious ndo unavyo ishi hivyo?
Afadhali...Ha ha ha no boss, naishi kwa house yangu self na ina ac lol.....
Why ulale na maumivu?
Siwezi ruhusu mchuchu alale akiliaaa...i hve to be a man hapo
Mi hua nalia tu halaf napiga kimyaa
Hapana, sio kwamba nalala naa maumivu. Navyolia ndo naondoa yale maumivu, so nikimaliza kulia maumivu au hasira zinaisha pia. Baada ya hapo nalala, nikiamka nakuwa freshiii kabisa.
Pia nina tabia ya kujiliza alone ili watu wasinione including aliyeniudhi, wataniona dhaifu wee. Ingawa sometimes hata kama hasira zimenijia barabarani basi ntaanza kilio hapo hapo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hivi why wanawake wengi mpo hiv ni kuwa na soft moyo au? Coz almost wote husema same thng wao ni kulia na kulia tu
Kuna mmoja alinambia yeye inadepend either anaweza lia room au akajifungia ndani washa music na kupiga kelel sanaaa
Sie kweli tuna soft mioyo, hatupendi kukaa na mzigo mzito moyoni, so kulia kunashusha mzigo wote. Hata tukiwa na tatizo huwa tunajitahidi kulishea na tunaowaamini, inatusaidia pia kupunguza stress. Tofauti na wanaume ambao wanaweza wakawa na tatizo kubwa na asiseme kwa mtu, mwisho presha tii
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ukiingia toi zetu za uswazi hasira inazidi mara mbili yake
Wanaume tuko strong
Kwani presha inasababishwa na hasiraa?
.Unapokuwa na hasira mara kwa mara (especially kwa wale ambao wanakasirika afu anakukalia tu kimya, analiweka moyoni) au hata una tatizo linakusumbua hasaa na unalificha, possibility ya kupata presha ni kubwa kadri unavyozidi kukaa na kitu moyoni coz unakuwa na kama shinikizo la mawazo ambalo linaweza kusababisha kupandisha shinikizo la damu... Me sio daktari, so nimejitahidi tu kuelezea kwa uelewa wangu mdogo mweee
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums