Hasa ukiwa mwalimu class si patachimbika?[/QUOT
Nitatoroka kazini kuepusha zali maana nikikasirika hata simu nazima.
Jikazeni wadada kila mtu analia tu
Huko njian honi za magari vipi?
Najitoa fahamu nakuwa kama roboti natembea mwisho najikuta nimefika home