Ukiwa unauwezo wa kudhibiti hisia zako utakuwa mtu hatari sana na pia utaweza kuyashinda mambo mengi , hata choko choko ndogo ndogo unazipotezea mtu anaweza akakutafuta kishari anashangaa haujai kwenye mfumo unampotezea.
Watu mlioajiriwa maofisini jitahidini muwe na Emotional intelligence mtavuka mambo mengi