Ukiwa na CPA unaweza kusoma masters?

Ukiwa na CPA unaweza kusoma masters?

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,704
Wadau!

Napenda kujua kama ukiwa na CPA au Certification yoyote kama CCNA, CCNP au CISA unaweza kunaweza kuqualify kujiunga na masters kwa case hauna degree ya kwanza?
 
Kwa Tanzania unasoma chuo chochote
 
Wadau!

Napenda kujua kama ukiwa na CPA au Certification yoyote kama CCNA, CCNP au CISA unaweza kunaweza kuqualify kujiunga na masters kwa case hauna degree ya kwanza?
CPA unasoma Masters degree inayohusiana na Finance. Hata UDSM wanakupa admission
 
Kwa bongo unakamua mastaz hata kama una diploma ya Kariakoo Bazaar Hotel Management. Mradi kisajiliwe na NACTE tu
 
umenielewa nataka kusoma nini?

Ukiwa na Atec II unaruhusiwa kusoma degree sababu ni equivalent na diploma
Ukiwa na module D unaruhusiwa kusoma postgraduate diploma ila sio masters maana serikalini moduleD ni equivalent na degree
Ukiwa na CPA unaruhusiwa kusoma masters moja kwa moja.
Ukiwa na ACCA unasoma chuo chochote kwenye nchi zinatotumia GAAP.
Naamini nipo sahihi Lala 1
 
Last edited by a moderator:
nimewaelewa, asanteni sana. One more question, SINA MSINGI WOWOTE WA ACCOUNTS JE NAWEZA KUPATA CPA NDANI YA MWAKA HUU AU MWAKANI KATIKATI ili niweze kuapply master? hivi sasa nafanya kazi hivyo muda nilio nao ni jioni na weekend tu .
 
kama huna msingi wa accounts CPA utaipata baada ya miaka mitano na kuendelea.unatakiwa kuanza kufanya mitihani ya ngazi za chini.nenda bodi ya uhasibu ukapate maelezo.
 
nimewaelewa, asanteni sana. One more question, SINA MSINGI WOWOTE WA ACCOUNTS JE NAWEZA KUPATA CPA NDANI YA MWAKA HUU AU MWAKANI KATIKATI ili niweze kuapply master? hivi sasa nafanya kazi hivyo muda nilio nao ni jioni na weekend tu .

Kaka nowdays ipo new syllabus ambayo ina
1. foundation(5subject)
2. intermediate(6subject)
3. final stage(4subject)..

So Non accounting degree(or kama mtu ana level za chini za CPA) anaanzia foundation stage and accounting degree unaanzia intermediate stage.
So kiongozi jipimie mwenyewe level yako ya elimu......Point yako ya kumaliza withini mwaka mmoja ni kazi au haiwezekani cause huwezi kwenda new stage bila kumaliza stage. CPA inaitaji NIDHAMU KIONGOZI.
 
Kama uko serious and bright, maximum years 2.5 unakuwa CPA. Hapo umeanzia chini kabisa Atec 1
 
Wadau!

Napenda kujua kama ukiwa na CPA au Certification yoyote kama CCNA, CCNP au CISA unaweza kunaweza kuqualify kujiunga na masters kwa case hauna degree ya kwanza?

Nini Masters Degree Hata PhD Unaweza Kufanya!
 
Kama uko serious and bright, maximum years 2.5 unakuwa CPA. Hapo umeanzia chini kabisa Atec 1
ATEC I na ATEC II upige ndani ya mwaka then Foundation Stage yenye course 5 upige ndani ya six month, Intermediate Stage yenye course sita upige ndani ya six month na Final Stage yenye course 4 zilizoshiba upige six month! Wewe utakuwa si wa kawaida!!!! Inabidi ukapige PHD tu sasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom