Kiongozi bado sijaelewa uwongo wangu uko wapi.
Hiyo ishu ya miaka mitatu na B5 ni shida ya mtu binafsi. Nilichokisema ni kwamba UKIWA BRIGHT NA SMART, unaweza kumaliza CPA within 2.5yrs. Sio mimi nasema hivo, ni syllabus
Hiyo ishu ya miaka 3 nahisi hujaielewa vizuri na haiko hivo unavofikiria. Syllabus inasema kwa mfano ukiwa foundation stage, ukashindwa kuimaliza within 3yrs from the day u have started it. wanafuta papers zote ambazo umefaulu na unairudia hiyo stage upya na sio unarudishwa stage ya nyuma. Huu ndo uelewa wangu kiongozi. Correct me if i am wrong