Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

Wakubwa zangu shikamooni!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Kwanza kabisa nashow some love to JF dar wing waliomake things happen kwenye White Party! Mtambuzi uko juu sana my Broder! Mambo yalikuwa TBC 1 Ukweli na Uhakika! Madame B kazi ilipendeza! Vin Diesel mlisababisha sanaa! Party yoyote mkiacha kunialika I WILL BE REALY REALY OFFENDED!!!!!!!

BACT TO TOPIC

Times are changing! And they are changing so fast for the worst! Wanawake wamekuwa heartless kabisa! Wanaume wa ukweli wamepungua sanaaa imebaki migumegume basi akitokea Masali Mmoja wa wanaume wa ukweli wanawake tunatoana roho yarabiiii! Inageuka survival of the fittest ambayo inamwacha yule mwanaume a very UNHAPPY MAN!

Wanaume siku hizi kwanza hawajui kufunga zipu za suruali, hivo unakuta mtu kamaliza chuo tayari ana mtoto mkubwa aliemzaa chuo au sekondari, akipata kazi anafyatuliwa kingine na mama mwengine, so kukuta mwanaume anakwambia sijaoa ila nina watoto 2 wakubwa si jambo la kushangaza! Achia mbali wale wanaume mnafanya wote kazi wanakupiga mizinga kama kawa! Hapo hutoki nae, ukitoka nae si atakugeuza ATM! Acha tabia ya umaloon, anakutongozeni wewe, mashosti wako hadi waadogo zako, ataekubali keshaenda na maji! Basi imekuwa so frustrating kwa sie wadada!

Akitokea mwanaume anajielewa, good looking, mcha Mungu, ana maendeleao anawindwaje sasa! Sio kwa Ofa, SMS, Treats za kila namna! Kila mtu napotaka yeye ni hapo tu! Survial of the fittest! Sasa wanaume wanaponzeka na huu mchuano na most of the time wanaoshinda ni ile Migubegube ya jiji! Mwanaume anawaringia wadada wenye maadili na kuangukia mikononi mwa gube gube!

Kuchamba Kwiingi Kutoka na Mavi! Wanaume wa ukweli punguzeni kuachagua sanaaa mtaishia kupata migubegube tu!

Unamaanisha wanawake ndio wachague good looking lkn mwanaume asichague sanaa au? hebu cheki hapo kwenye blue color
 
Na kwanini nyie wanawake mkiona mwenzenu kapata 'Mwanaume wa ukweli" mnajipanga kumpindua kwa mitego ya kila aina? kwanini msikae pembeni? Wanaume wa ukweli bado wapo ila tatizo humuoni mwanaume wako ni wa ukweli unamuona mwwanaume wa mwenzako ndio wa ukweli. Hebu fanya uchunguzu lara 1 halafu utarudi na wazo tofauti:nimekataa
 
Last edited by a moderator:
bidada ckuzote mchagua sana nazi huibuka kwenye koroma, sasa kama mwanaume kashaona anagombaniwa bichwa ndio linaexpand anaaanza kuongeza vigezo vya atakayewin competition , hapo ndo ufake unaaply akija kushtuka ishakua NINGEJUA.silipendi hili neno

Mhhhhhhhhhhhhhh acha nipumue mie
 
Na kwanini nyie wanawake mkiona mwenzenu kapata 'Mwanaume wa ukweli" mnajipanga kumpindua kwa mitego ya kila aina? kwanini msikae pembeni? Wanaume wa ukweli bado wapo ila tatizo humuoni mwanaume wako ni wa ukweli unamuona mwwanaume wa mwenzako ndio wa ukweli. Hebu fanya uchunguzu lara 1 halafu utarudi na wazo tofauti:nimekataa

Hapana! Inakera sanaa kuona mwanaume unampenda na uko tayari kujitoa muhanga kwa ajili yake ila yeye anakuchukulia poa tu na kwenda kujiweka kwa MIGUBEGUBE bila hata kuuhurumia moyo wako!

Wewe upo tayari muanze maisha yeye anaendekeza vijungu na mipododo inayojipitisha kwakwe kwa kuona he will be missin all that Ass basi anachachawa!

Ukibahatika good Genes nichague mie jiarani yako tulisongeshe! Utasikia "Guess nani kanitext anitoe Diner??? Hr Manager wa Stabinc! Yule baba yake MD wa bank flani!" Nyooooooooo! Utakufa unachamba wima! Msheeeeeew

Sie kina kajamba nani tutoke na nani sasa? Muwe na huruma!
 
Lara1 Lara1 tatizo kutwa watu kukodolea macho milango ya jirani bado naamini wanaume wa ukweli single wapo wengi shida tunapenda miteremko ndio maana kuzengea vya watu imekua jadi na walio wa ukweli single hawaonekani.
 
Hapana! Inakera sanaa kuona mwanaume unampenda na uko tayari kujitoa muhanga kwa ajili yake ila yeye anakuchukulia poa tu na kwenda kujiweka kwa MIGUBEGUBE bila hata kuuhurumia moyo wako!

Wewe upo tayari muanze maisha yeye anaendekeza vijungu na mipododo inayojipitisha kwakwe kwa kuona he will be missin all that Ass basi anachachawa!

machoni na midomoni mko hivyo lkn moyoni.......ujinga mtupu

Ukibahatika good Genes nichague mie jiarani yako tulisongeshe! Utasikia "Guess nani kanitext anitoe Diner??? Hr Manager wa Stabinc! Yule baba yake MD wa bank flani!" Nyooooooooo! Utakufa unachamba wima! Msheeeeeew

Sie kina kajamba nani tutoke na nani sasa? Muwe na huruma!

Machoni na moyoni mko hivyo lkn moyoni fisi nyie
 
Hahahah mbona mmenipania ivo, mie niliandika nikiwa na dompo kichwani so guys dnt take me serious....
Hukuna cha nothing personal! Everythin is personal si kimetoka mdomoni kwako?:cheer2:
 
Hivi ni nini kinacho-define mwanaume wa kweli na asiye wa kweli?

Ni yule ambaye mtu yeyote akimuita gumegume ana chuki binafsi!

Ni mwanaume aliejipanga, responsible, mwenye kujielewa na anasomeka kwa jamii! Kila mtu anatamani ampate yeye! Insort anakuwa UNIVERSALY ATTRACTIVE!
 
Back
Top Bottom