monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
namshukuru sana Mungu nilizaliwa zamani.
haya sipo tena manake sihitaj tena wa kutoka nae zaid ya 4 boys wangu, na baba yao akileta shobo anafungiwa vioo life inasonga mpango mzima.
lkn tukirudi kwenye uhalisia wa maisha ya kileo wote vijana wa kiume na wa kike hawajui wanachokitaka ukisema ni swala la hela hata wakiwa nazo sio credit yao ya kutulia, ukisema ni swala la uzuri hata wawe kama malaika sio sababu ya kuwa watulivu, ukisema ni mgegedo basi hata wawe wanapeana utamu bado tu haiwatoshi kutulia.
kwangu mimi imenifanya nirudi kwenye maandiko matakatifu na kuona kwamba haya yanayotokea leo ni sawa na yale yaliyosababisha gharika ama sodoma na gomora kuwaka moto.
jambo la msingi la kufanywa na mtu binafsi(kijana) ni kujitambua thamani yako irrespective of your sex kisha kuangalia wajibu wako kwenye ulimwengu wa mapenzi ni upi na kumwomba mungu atimize haja za moyo wako.
Ni kweli ukimwomba Mungu utafanikiwa tu,ila usiwe na haraka wala papara,Pia pia usi pretend maisha yako halisi,hakuna malaika hapa,au watakatifu cha msingi ni kukumbuka "KUTUBU" Kila wakati wa makosa,sio mtu unaombaaaaa,halafu hutubu na unaendeleza migegedo,hapo sala kumpata umtakaye haipo,usijilinganisha eti mbona shoga yako yupo vile lakini kampata mkaka/mdada excellent,hujui kampataje,hujui nini kitafuata mbele ya maisha yake.
Nimekumbuka wimbo huu;
Ujana maji ya moto ujaaanaaa*2
nitakufa na mawazo ujaanaa*2
Nikikumbuka uzeee silaliii*2
Nitakufa na mawazo ujaanaa*2
Watu wengi wanawaua wazeee*2
Ujana maji ya moto ujanaaaa*2.
ni hayo tu nimekumbuka wimbo huu nilipokuwa namaliza form 4, 1999,but sio bongo flavour.