Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

Wakubwa zangu shikamooni!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Kwanza kabisa nashow some love to JF dar wing waliomake things happen kwenye White Party! Mtambuzi uko juu sana my Broder! Mambo yalikuwa TBC 1 Ukweli na Uhakika! Madame B kazi ilipendeza! Vin Diesel mlisababisha sanaa! Party yoyote mkiacha kunialika I WILL BE REALY REALY OFFENDED!!!!!!!

BACT TO TOPIC

Times are changing! And they are changing so fast for the worst! Wanawake wamekuwa heartless kabisa! Wanaume wa ukweli wamepungua sanaaa imebaki migumegume basi akitokea Masali Mmoja wa wanaume wa ukweli wanawake tunatoana roho yarabiiii! Inageuka survival of the fittest ambayo inamwacha yule mwanaume a very UNHAPPY MAN!

Wanaume siku hizi kwanza hawajui kufunga zipu za suruali, hivo unakuta mtu kamaliza chuo tayari ana mtoto mkubwa aliemzaa chuo au sekondari, akipata kazi anafyatuliwa kingine na mama mwengine, so kukuta mwanaume anakwambia sijaoa ila nina watoto 2 wakubwa si jambo la kushangaza! Achia mbali wale wanaume mnafanya wote kazi wanakupiga mizinga kama kawa! Hapo hutoki nae, ukitoka nae si atakugeuza ATM! Acha tabia ya umaloon, anakutongozeni wewe, mashosti wako hadi waadogo zako, ataekubali keshaenda na maji! Basi imekuwa so frustrating kwa sie wadada!

Akitokea mwanaume anajielewa, good looking, mcha Mungu, ana maendeleao anawindwaje sasa! Sio kwa Ofa, SMS, Treats za kila namna! Kila mtu napotaka yeye ni hapo tu! Survial of the fittest! Sasa wanaume wanaponzeka na huu mchuano na most of the time wanaoshinda ni ile Migubegube ya jiji! Mwanaume anawaringia wadada wenye maadili na kuangukia mikononi mwa gube gube!

Kuchamba Kwiingi Kutoka na Mavi! Wanaume wa ukweli punguzeni kuachagua sanaaa mtaishia kupata migubegube tu!

Hopefully ur speaking kwaniaba ya other ladies, cuz sitaki kuamini na wewe hadi leo ujapata mwanaume wako wa ukweli.
 
fazaa usishindwe kumuelewa lara 1, dunia ya ujana ya leo imekuwa ya competition kuliko ilivyotarajiwa.

kwasasa kuwa mkaka ama kuwa mdada hakuna tofauti lijapo swala la kutongozana.

wewe dada hiyo picha kama ni wewe kweli sina la kusema...ila niko hoi bin taabani hapa
 
Mentor.. Habare banaa... Mbona kuchekaa(in mzee yusuf voice)

i presume unatumia simu otherwise ungeona sehemu niliyobold..eniwei angalia comment yako..ilikuwa inajichanganya: "Ukimpata wa ukweli either akili zake za kitoto..hamuendanii.. Ama"

Ukiona hivyo jua bado hujampata wa ukweli.

ON A SIDE NOTE: That smile my dear....
 
Lara 1 niombe radhi mie nimetulia na kitu umekiona white part,si umeona nilikuwa peke yangu aliyeambatana na wife?
 
Back
Top Bottom