Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

hahahaaaa Nashkuru Mungu kunifanya Mwanaume wa Ukweli
 
This is very true @Lara1 but nadhani the same applies to wanawake wa ukweli pia,so we all need to work on this!!
 
'but at the same time kumbi zote zimejaa wengine inabidi tufanye arusi ijumaa au jumapili'.....ur coleagues are busy getting married........sometimes we need to negotiate and move foward!!Life has never being that straightfoward.
 
Huo ndo ukweli wenyewe kadi za harusi zinapichana tu mezani na wengine wanataka michango,,
Haijalishi awe na vigezo 100 au anavyo 50 muhimu ni furaha unayopata ukiwa naye, unacheki cost-benefit analysis ukiona inalipa mnafanya maisha pamoja na mkiwa na nia Mungu atawasimamia

"Life is not about waiting storm to pass, is about getting out there and dancing in the rain"

Maisha yenyewe ya kwapi ya kumsubiri best candidate mwenye sifa ambazo hata ukimuumba mwenyewe hawez kuwa nazo..

Nina imani ndoa zenye upendo zinakuja na baraka hata kama hamna kitu""" si mnakumbuka baada ya beckham kumuoa victoria mpira ulivyomkubali au mmesahau season ya 99, after harusi na victoria jamaa alivyotingisha dunia...

I remember nilikuwa primary lakini siwezi sahau victoria alivyoshuka na machozi kutoka jukwaani kumkumbatia Beckham after Manchester utd vs Juventus champions league semi final ile game ya 3-2,, that night nilikuwa mtoto lakini I feel lonely and know that you will never walk alone, a lady must be there to cry with you and cheer with you...

Maisha magumu hayasomeki lakini tusiogope kufanya Maisha pamoja na pande zote zipunguze vigezo mkiwa wawili kutoboa ni rahisi kuliko ukiwa alone.. we Lara 1 na wenzako mwambie mchaga wako mfanye maisha tu no matter Mr sina kitu au Mdau
 
Wakubwa zangu shikamooni!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Akitokea mwanaume anajielewa, good looking, mcha Mungu, ana maendeleao anawindwaje sasa! Sio kwa Ofa, SMS, Treats za kila namna! Kila mtu napotaka yeye ni hapo tu! Survial of the fittest! Sasa wanaume wanaponzeka na huu mchuano na most of the time wanaoshinda ni ile Migubegube ya jiji! Mwanaume anawaringia wadada wenye maadili na kuangukia mikononi mwa gube gube!

Kuchamba Kwiingi Kutoka na Mavi! Wanaume wa ukweli punguzeni kuachagua sanaaa mtaishia kupata migubegube tu!

mwanaume wa kweli lazima achague tena sana ili apate kile anastahili.....Ndio maana mchakato wake unahusisha wengi na unatumia muda mwingi....shida ni hao wanaosailiwa kila mmoja anajiona anafaa....ukijua level zako inakuwa poa sana
 
Ndo maana nikajisemea, jinsia zote tu zishakuwa kidigitali zaidi

Hahaaa Kongosho....mambo lakini? mwenzangu mjini mipango magumegume kibao...madrama queens kwa sana..na hao wandoani..Tafraani...full Majanga!!!:bange:
 
Tatizo ni kuwa wanaume wengi wa ukwel they are already taken, yamebaki makapi...so imebaki tutabanana hapahapa....its a bitter truth!!!
dah!! so offensive Nicole kututusi kisa tu we're slow in a prowl??
 
Last edited by a moderator:
Sikuhizi hakuna kupenda ni full kutamaniana tu basi ndo kimebaki
 
Huo ndo ukweli wenyewe kadi za harusi zinapichana tu mezani na wengine wanataka michango,,
Haijalishi awe na vigezo 100 au anavyo 50 muhimu ni furaha unayopata ukiwa naye, unacheki cost-benefit analysis ukiona inalipa mnafanya maisha pamoja na mkiwa na nia Mungu atawasimamia

"Life is not about waiting storm to pass, is about getting out there and dancing in the rain"

Maisha yenyewe ya kwapi ya kumsubiri best candidate mwenye sifa ambazo hata ukimuumba mwenyewe hawez kuwa nazo..

Nina imani ndoa zenye upendo zinakuja na baraka hata kama hamna kitu""" si mnakumbuka baada ya beckham kumuoa victoria mpira ulivyomkubali au mmesahau season ya 99, after harusi na victoria jamaa alivyotingisha dunia...

I remember nilikuwa primary lakini siwezi sahau victoria alivyoshuka na machozi kutoka jukwaani kumkumbatia Beckham after Manchester utd vs Juventus champions league semi final ile game ya 3-2,, that night nilikuwa mtoto lakini I feel lonely and know that you will never walk alone, a lady must be there to cry with you and cheer with you...

Maisha magumu hayasomeki lakini tusiogope kufanya Maisha pamoja na pande zote zipunguze vigezo mkiwa wawili kutoboa ni rahisi kuliko ukiwa alone.. we Lara 1 na wenzako mwambie mchaga wako mfanye maisha tu no matter Mr sina kitu au Mdau
This speech is so strong brother, so admiring n alluring . Well done well written MKATA KIU
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa zangu shikamooni!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Kwanza kabisa nashow some love to JF dar wing waliomake things happen kwenye White Party! Mtambuzi uko juu sana my Broder! Mambo yalikuwa TBC 1 Ukweli na Uhakika! Madame B kazi ilipendeza! Vin Diesel mlisababisha sanaa! Party yoyote mkiacha kunialika I WILL BE REALY REALY OFFENDED!!!!!!!

BACT TO TOPIC

Times are changing! And they are changing so fast for the worst! Wanawake wamekuwa heartless kabisa! Wanaume wa ukweli wamepungua sanaaa imebaki migumegume basi akitokea Masali Mmoja wa wanaume wa ukweli wanawake tunatoana roho yarabiiii! Inageuka survival of the fittest ambayo inamwacha yule mwanaume a very UNHAPPY MAN!

Wanaume siku hizi kwanza hawajui kufunga zipu za suruali, hivo unakuta mtu kamaliza chuo tayari ana mtoto mkubwa aliemzaa chuo au sekondari, akipata kazi anafyatuliwa kingine na mama mwengine, so kukuta mwanaume anakwambia sijaoa ila nina watoto 2 wakubwa si jambo la kushangaza! Achia mbali wale wanaume mnafanya wote kazi wanakupiga mizinga kama kawa! Hapo hutoki nae, ukitoka nae si atakugeuza ATM! Acha tabia ya umaloon, anakutongozeni wewe, mashosti wako hadi waadogo zako, ataekubali keshaenda na maji! Basi imekuwa so frustrating kwa sie wadada!

Akitokea mwanaume anajielewa, good looking, mcha Mungu, ana maendeleao anawindwaje sasa! Sio kwa Ofa, SMS, Treats za kila namna! Kila mtu napotaka yeye ni hapo tu! Survial of the fittest! Sasa wanaume wanaponzeka na huu mchuano na most of the time wanaoshinda ni ile Migubegube ya jiji! Mwanaume anawaringia wadada wenye maadili na kuangukia mikononi mwa gube gube!

Kuchamba Kwiingi Kutoka na Mavi! Wanaume wa ukweli punguzeni kuachagua sanaaa mtaishia kupata migubegube tu!

kwenye nyekundu nakubaliana nawe 100%,ila pia asilimia kubwa na descent women & galz wnaangukia kwa migube gube ya kiume,so can we can it a balance of nature?...........NOOOOOOOOOO! it is because a large number of players knows how to care!
 
Kuna wimbo waliimba Akudo Impact (Christian Bela) Yako wapi mapenzi.............................Utanisaidia kuchangia topic leo
 
Back
Top Bottom