Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

Ni yule ambaye mtu yeyote akimuita gumegume ana chuki binafsi!

Ni mwanaume aliejipanga, responsible, mwenye kujielewa na anasomeka kwa jamii! Kila mtu anatamani ampate yeye! Insort anakuwa UNIVERSALY ATTRACTIVE!

Hmm...kuna kitu kama universal attractiveness kweli?:confused2:
 
Huo ndo ukweli wenyewe kadi za harusi zinapichana tu mezani na wengine wanataka michango,,
Haijalishi awe na vigezo 100 au anavyo 50 muhimu ni furaha unayopata ukiwa naye, unacheki cost-benefit analysis ukiona inalipa mnafanya maisha pamoja na mkiwa na nia Mungu atawasimamia

"Life is not about waiting storm to pass, is about getting out there and dancing in the rain"

Maisha yenyewe ya kwapi ya kumsubiri best candidate mwenye sifa ambazo hata ukimuumba mwenyewe hawez kuwa nazo..

Nina imani ndoa zenye upendo zinakuja na baraka hata kama hamna kitu""" si mnakumbuka baada ya beckham kumuoa victoria mpira ulivyomkubali au mmesahau season ya 99, after harusi na victoria jamaa alivyotingisha dunia...

I remember nilikuwa primary lakini siwezi sahau victoria alivyoshuka na machozi kutoka jukwaani kumkumbatia Beckham after Manchester utd vs Juventus champions league semi final ile game ya 3-2,, that night nilikuwa mtoto lakini I feel lonely and know that you will never walk alone, a lady must be there to cry with you and cheer with you...

Maisha magumu hayasomeki lakini tusiogope kufanya Maisha pamoja na pande zote zipunguze vigezo mkiwa wawili kutoboa ni rahisi kuliko ukiwa alone.. we Lara 1 na wenzako mwambie mchaga wako mfanye maisha tu no matter Mr sina kitu au Mdau

nimependa sana hizo methali,
pia maneno yako yana ukweli mkubwa kwan kwa uzoefu wanawake wengi wanaochagua wameishia kulea watoto peke yao also they have implicated themselve into miserable kwa kutafta wale good looking na wenye maendeleo.
 
Sijawatusi i just spoke my mind...kama we mwanaume wa ukwel kwann ujifil kuwa offended?
dah!! so offensive Nicole kututusi kisa tu we're slow in a prowl??
 
Last edited by a moderator:
Hmm...kuna kitu kama universal attractiveness kweli?:confused2:

Not par se! Lakini hata kazini au chuoni kuna mdada majority yenu mnakubali kuwa Ni best of the best among women wa hiyo ofisi kitabia na muonekano! Kwa hiyo in short ni kuwa sehemu kubwa ya Jamii inamkubali kuwa ni good choice of a wife!

So applies kwa vimeo! Kuna mtu ukimuuliza yeyote majority watakwambia Usijaribu utapotea!
 
Kila kitu ni kidigitali siku hizi!!! Ila kwa hakika mwanaume unategeme vijisenti vya mwanamke ni hatari sana!!! Kwa namna hii you will never be the head of the house, but rather a tail!!! Mila na desturi ni lazima ziheshimiwe!! Hata mwanamke awe na hela nyingi kiasi gani but ni desturi mwanaume awe main provider na mke ni assistant tu!! Some differences must prevail!!! Khaa wanaume kama mabinti, nooooooo!!! Say no to it!!! Eti utasikia jianaume lizime anamwambie mwanamke nirushie kavocha basi!!! Shuani!!!
 
Not par se! Lakini hata kazini au chuoni kuna mdada majority yenu mnakubali kuwa Ni best of the best among women wa hiyo ofisi kitabia na muonekano! Kwa hiyo in short ni kuwa sehemu kubwa ya Jamii inamkubali kuwa ni good choice of a wife!

So applies kwa vimeo! Kuna mtu ukimuuliza yeyote majority watakwambia Usijaribu utapotea!

So the acceptability of integrity is specifically based on what? How the person carries him/herself?

Because someone can act all wholesome during the day but at night they become completely different people.

I know some strippers who if you meet them during the day you wouldn't even think for a second that their side gig is stripping.
 
...na kwa kuongezeka kwa MAASI, upendo wa wengi utapoa....
 
The same thing to the ladies.
'
Wanawake hawataki wanaume wa ukweli,wanapenda wanaume wa hovyo.
'
Wanaume wa ukweli tunapokutana na mabint mnakua na mapozi kibao,mara hivi mara vile,kwa nini nisijichanganye na jimama linaloniheshimu?
'
Sina muda wa kuwaza ujinga,leo anakuzingua hivi kesho anataka hiki,mara amenuna,mara hupokei simu sababu za msingi hakuna.
'
Maisha yananipa "headache" na wewe tena?Haiwezekani,kwanini nisikae na jimama ambalo kama ni mapungufu ni ya kibinadamu tu!
 
Sijawatusi i just spoke my mind...kama we mwanaume wa ukwel kwann ujifil kuwa offended?
Kwasababu najikubali kuwa mi mwanaume wa ukweli, afu we unasema waukweli wote wamechukuliwa wamebaki vimeo, wakati kuna wa ukweli kibao ila sema wanausoma mchezo.
 
Aisee lara 1 kuna ukweli hapo hata wanawake wa kweli wanaishia kuvamiwa tuu!
 
Last edited by a moderator:
lara 1 mimi nilimuona mmoja siku ya white party lakini alikuwa anajishembendua ka nini
 
Last edited by a moderator:
Wanaume siku hizi kwanza hawajui kufunga zipu za suruali, hivo unakuta mtu kamaliza chuo tayari ana mtoto mkubwa aliemzaa chuo au sekondari, akipata kazi anafyatuliwa kingine na mama mwengine, so kukuta mwanaume anakwambia sijaoa ila nina watoto 2 wakubwa si jambo la kushangaza!

Hivi katika hili tatizo ni nn...?maana wana wanaharibu sio kitoto yani.....,,
mimi hapa ndio huwa nagundua wanaopiga kelele za DUME mara MWANAUME HALISI hawakai jamii ninayotoka mimi labda.....maana mtu kuoa anakitoto tena si cha mwanamke anaeolewa ishakuwa fashen yan.....
SASA uko mkiwa mnananii si bora mtumie tu,kuliko kuwa na watoto wa kulelewa wiki kwa BABA na wiki 2 kwa MAMA....ITS UNFAIR JAMANI......
III imezidi sana...... :israel: na haivutiiiii
 
Ok relax then and good 4u kujipigia debe nadhani mashosti watakuwa wamekusoma
Kwasababu najikubali kuwa mi mwanaume wa ukweli, afu we unasema waukweli wote wamechukuliwa wamebaki vimeo, wakati kuna wa ukweli kibao ila sema wanausoma mchezo.
 
Wakubwa zangu shikamooni!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Kwanza kabisa nashow some love to JF dar wing waliomake things happen kwenye White Party! Mtambuzi uko juu sana my Broder! Mambo yalikuwa TBC 1 Ukweli na Uhakika! Madame B kazi ilipendeza! Vin Diesel mlisababisha sanaa! Party yoyote mkiacha kunialika I WILL BE REALY REALY OFFENDED!!!!!!!

BACT TO TOPIC

Times are changing! And they are changing so fast for the worst! Wanawake wamekuwa heartless kabisa! Wanaume wa ukweli wamepungua sanaaa imebaki migumegume basi akitokea Masali Mmoja wa wanaume wa ukweli wanawake tunatoana roho yarabiiii! Inageuka survival of the fittest ambayo inamwacha yule mwanaume a very UNHAPPY MAN!

Wanaume siku hizi kwanza hawajui kufunga zipu za suruali, hivo unakuta mtu kamaliza chuo tayari ana mtoto mkubwa aliemzaa chuo au sekondari, akipata kazi anafyatuliwa kingine na mama mwengine, so kukuta mwanaume anakwambia sijaoa ila nina watoto 2 wakubwa si jambo la kushangaza! Achia mbali wale wanaume mnafanya wote kazi wanakupiga mizinga kama kawa! Hapo hutoki nae, ukitoka nae si atakugeuza ATM! Acha tabia ya umaloon, anakutongozeni wewe, mashosti wako hadi waadogo zako, ataekubali keshaenda na maji! Basi imekuwa so frustrating kwa sie wadada!

Akitokea mwanaume anajielewa, good looking, mcha Mungu, ana maendeleao anawindwaje sasa! Sio kwa Ofa, SMS, Treats za kila namna! Kila mtu napotaka yeye ni hapo tu! Survial of the fittest! Sasa wanaume wanaponzeka na huu mchuano na most of the time wanaoshinda ni ile Migubegube ya jiji! Mwanaume anawaringia wadada wenye maadili na kuangukia mikononi mwa gube gube!

Kuchamba Kwiingi Kutoka na Mavi! Wanaume wa ukweli punguzeni kuachagua sanaaa mtaishia kupata migubegube tu!

Wacha tuchague wewe turidhike na nafsi zetu,tusipochagua tutakuja ilaumu nafsi zetu kuwa hatukutumia nafasi zetu,bt wadada waliotulia hawana alama sana kama wanaume kwa upole wao"usipo chafuka utajifunzaje"?
 
Mama yangu wee; nimeachwa kwa jimama. Kongosho uko wapi?
The same thing to the ladies.
'
Wanawake hawataki wanaume wa ukweli,wanapenda wanaume wa hovyo.
'
Wanaume wa ukweli tunapokutana na mabint mnakua na mapozi kibao,mara hivi mara vile,kwa nini nisijichanganye na jimama linaloniheshimu?
'
Sina muda wa kuwaza ujinga,leo anakuzingua hivi kesho anataka hiki,mara amenuna,mara hupokei simu sababu za msingi hakuna.
'
Maisha yananipa "headache" na wewe tena?Haiwezekani,kwanini nisikae na jimama ambalo kama ni mapungufu ni ya kibinadamu tu!
 
Last edited by a moderator:
lara 1 mimi nilimuona mmoja siku ya white party lakini alikuwa anajishembendua ka nini

Hahahahaaaaaaa! Shosti ngoja nizame PM unipe vizuri huu umbea! Im in mood for some good umbeya!
 
Back
Top Bottom