Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,305
29,852
Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mimi ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwanini walimu jamani mnaendelea na hii kazi, hivi mnafaidika nini haswa?

Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne.

Hivi mnaishije nyie? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai!
 
Mwalimu leo huweki mkeka?
 
Nakumbuka safari yako ya lindi na mtwara kusaka ajira ya ualimu wa kujitolea
 
Mkuu labda baadhi ya walimu pia nadhani maisha ni vile unavyoweka na kutekeleza malengo yako. Kuna jamaa anafundisha Hesabu shule moja private X kule Karibu na bahari ya hindi. Jamaa anapokea milion 3 na anaendesha BMW X3.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mna penda attention san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…