Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,477
Picha hii ya kukumbukwa inaeleza mengi sana, haijalishi nchi uliyopo iko wapi ama iko namna gani, jifunze jambo ili upate faida.
Hatari sana !
huyu naye akitoka atatunga kitabu !Haina haja hio, kitabu cha mkapa tu kinatosha
huyu naye akitoka atatunga kitabu !
Misri ni waarabu japo wanaishi Afrika!Huyo Abdel amekaa hapo kumbe mawazo yake yote yapo kwenye hicho kiti mneso cheusi, hakumchelewesha kamtoa hapo, kamfungulia kesi, kafa akiwa mahakamani akisikila mashtaka dhidi yake. Siasa za Afrika hizo.