GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Hivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
Wajinga ndiyo.watakaoamini huo utumbo. DK fakeHivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
Sikatai kuwa yawezekana kweli ni Tapeli ila kama alikamatwa Muhimbili National Hospital na ikatangazwa kama hivi leo kuwa alikuwa ni Tapeli ilikuwaje akaachiwa na kuendelea tena kuwa Tapeli na safari hii katika Hospitali ya Amana Ilala? Kwahiyo Sheria za Tanzania siku hizi nazo zimeenda Kaburini?Watanzania nao wamekuwa wahuni.. pengine ni real tapeli.
Kuliko maelezo na sidhani kama kuna Mzalendo wa Kweli kwa Kizazi hiki wa Tanzania kama Mimi Hujakosea nina Uchungu.Kaka Genta GENTAMYCINE unaonekana una uchungu sana na hii nchi
Labda kwa MPUMBAVU WAHED kama Wewe.sio vitu vya kutilia sana maanani
Kiufupi liko pale Eagle wing mpaka namba ya kota tunaijuaHivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
"Sisi kama taifa tuliamua siasa au kupiga domo ndio iwe kazi yenye malipo makubwa sana kuliko taaluma,ndio maana sekta nyingine hazitiliwi mkazo coz hazina malipo makubwa na sio kipaumbele Kwa serikali ndio maana Bora liende TU mradi serikali inapata data za kusoma majukwaani"Hivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
Nxhi kama cartel inasikitishaHivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
Kwa Confidence yake, Eye Contact yake, Facial Expression yake na Body Language nikiambiwa ni wa Mfumoni ninakubali.Kiufupi liko pale Eagle wing mpaka namba ya kota tunaijua