Ukiwa huna kitu hakuna mtu atayejishughulisha na wewe ila ukipata tegemea yafuatayo

Umaskini mbaya sana

Kwenye ukoo wetu mimi na vikao nashiriki lwa lazima la sivyo ntaenda kuosha masufuria staki kusikiliza upuuzi wanaoongea watu wenye hela na vile wanavyowasapoti. Sijawahi kutia neno maana ndio sie tunaoleta vurugu
Jamn mbavu zangu mie, nmecheka xn had washkaj wamenishangaa.....

Nguvu ya watu wenye hela kwenye koo zetu za kiafrika haitofautiani nguvu ya watu wenye vyeo vikubwa uko makizin kwetu


Maskini waeza toa hoja yenye mashiko lkn tajiri asipo ielewa na akaipinga basi jua ushafeli

Huko makazini kwetu pia mke wa boss hata aongee hoja ambayo haina msaada kwenye kampuni hakuna wakuipinga sa jifanye wewe unauchungu na kampuni km ya mjomba ako wk 2 mbele utaambiwa nenda kasalimie bibi ako ata km umetoka huko weekend iliyopita

Uongo mbaya pesa iko juu ya kila ktu
 
hahahahaha cheka mwenzangu
mambo mengine changamoto, mimi nilikua naumia zamani badae nikaja kujua Umaskini is a state of mind
Naonaga kawaida halafu wakileta dharau zao nawaenjoy nakua kama mkongo nawapaisha
basi wananeemeka
 
Loooh
Kwenye hivyo vikao hata round ya bia ikipita, kama huna hela, utasikia huyo mpeni mirinda nyeusi. Au ukichangia kitu tofauti na wengine na kama huna pesa, utasikia, huyo kashalewa, hata kama uko kwenye dozi ya malaria (ambayo hukataza kunywa pombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…