Ukiwa huna kitu hakuna mtu atayejishughulisha na wewe ila ukipata tegemea yafuatayo

Pambana mkuu uwe final Say
vinginevyo utakuja uoshe masufuria ya ukoko kama sie wanaume wasio na hela wanagawa sahani na vinywaji wanawake kunawisha mkimaliza hapo maboss wanajadili mnajijua kabisa mkaoshe vyombo kabla hamjaitwa ukikataa unatiwa masingi na funguo za Vanguard Kua umekua jeuri halafu huna hela ukizipata je itakuaje
Ha ha ha mkuu umenichekesha sana
 
Huku unasistiziwa hio ela usiibe
utadhani umesema unaiiba.. maji yakipanda bei unaambiwa umebania ef5
ukumbini mnakaa ile meza isiyo na title, iko pembezonii mana meza zina vyeo Udsm 2000 /PROFESSOR nani sijui na familia yake /BoT/Rc
sasa nyinyi mnakua kule pembeni unawashika akina junior wao wasiruke ruke ukumbini


Hahhaahahahahah....unatuliza fujo za watoto wa🤣🤣🤣!
Kuna mshikaji aliwahi sema ukiwa maskini hata ukitaka namba ya mtu mwenye hela...mfano mm nitake namba ya tajiri nikikol wewe ..wewe utanijibu ngoja nimuulize🤣🤣🤣! Means wanahis unapiga kibomu tu huna lolote la maana🤣🤣! Unanifurahisha sana asee
 
ohooo hizo ni challenge zinatupata tusio na mageti madirisha ya Nyavu yana chapa za masela wezi wa simu kama zote.. Una nini cha kuwaambia sasa akati umeshindwa hata kununua flat screen kama sio kunyamazisha kelele za watoto wa madon unawakimbiza ukumbi mzima halafu nao wanarithi dharau wanakua kama hawakujui vile
Hahhaahahahahah....unatuliza fujo za watoto wa!
Kuna mshikaji aliwahi sema ukiwa maskini hata ukitaka namba ya mtu mwenye hela...mfano mm nitake namba ya tajiri nikikol wewe ..wewe utanijibu ngoja nimuulize! Means wanahis unapiga kibomu tu huna lolote la maana! Unanifurahisha sana asee
 
Hahah mkuu umenikumbusha wakati fulani early 2011 kuna mwanafamilia alikuwa anafunga ndoa sasa ktk kikao cha mwisho siku ya kupanga budget halisi yupo ndugu yetu mmoja ana ukwasi wa maana ila aliongea pumba moja aisee,sikuamini na makofi akapigiwa.

Ilikuwa kwenye upande wa vyakula,akashauri kwamba kwa kuwa huyu bwana harusi baba yake kijijini ana shamba lenye migomba basi ndizi zisinunuliwe hapa town zitoke huko na uwe ndo mchango wa baba yake akimaanisha haiwezekani baba asichangie harusi ya mwanae,hakuna aliyeuliza even me {kutokana na hapo nyuma kabla ya hili wapo watu walishatoa mawazo yao mazuri ila yakawekwa kapuni ya huyu jamaa yakaonekana ya maana} kama hizo ndizi ni mikungu mingapi hata iwe issue kubwa kiasi hiko hata mwenyekiti wa kile kikao niliyemuona smart {ni engineer} naye akanyamaza kimya.

Kikao kilipoisha nikamuuliza mwenyekiti hizo gharama za kutoa mikungu saba kijijini na muda utakaopotezwa pia kumlazimisha mzazi achange harusi ya kijana wake kwanini wasingeachiwa wapishi wenyewe wakajua watakachofanya naye ananiambia hela si zipo bwana acha zitumike,nilimuona nae kumbe ni mweupe kweli kweli nikaamini mwenye fedha hata mwenye elimu anamuheshimu hata ateme pumba kiasi gani.
Sio mweupe.. wewe ndo mweupe, hujui kula na kipofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ohooo hizo ni challenge zinatupata tusio na mageti madirisha ya Nyavu yana chapa za masela wezi wa simu kama zote.. Una nini cha kuwaambia sasa akati umeshindwa hata kununua flat screen kama sio kunyamazisha kelele za watoto wa madon unawakimbiza ukumbi mzima halafu nao wanarithi dharau wanakua kama hawakujui vile
Dada una experience sana
 
ohooo hizo ni challenge zinatupata tusio na mageti madirisha ya Nyavu yana chapa za masela wezi wa simu kama zote.. Una nini cha kuwaambia sasa akati umeshindwa hata kununua flat screen kama sio kunyamazisha kelele za watoto wa madon unawakimbiza ukumbi mzima halafu nao wanarithi dharau wanakua kama hawakujui vile


Hhahahahhaahaha shoga unajua kinichekesha jana nimecheka mnoo...🤣🤣🤣! Ila ddah maisha haya hayana adabu!
 
Hhahahahhaahaha shoga unajua kinichekesha jana nimecheka mnoo...! Ila ddah maisha haya hayana adabu!
Adabu itoke wapi wakati huna hata Vitz ya kukopa. Utafata wanachotaka la sivyo unaleta machafuko na uchochezi ,Watoto wana kejeli wanachukua simu yako wanaiangalia wanakurudishia unaulizwa we mamdogo mbona hutumii Iphone asa hii simu gani? Hapo watoto wana vyombo vyote unavyoviota ukiokota hela ununue.. Ooh unanyamaza tu ukishakunywa juice ya matunda unakung'uta matako haya daladala liko wapi unasanzuka kwenu kusikokua na vitasa wala komeo huku ukijiambia nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani, kukosa hela ni sehemu ya maisha
 
Back
Top Bottom