Ukiwa huna kitu hakuna mtu atayejishughulisha na wewe ila ukipata tegemea yafuatayo

Adabu itoke wapi wakati huna hata Vitz ya kukopa. Utafata wanachotaka la sivyo unaleta machafuko na uchochezi ,Watoto wana kejeli wanachukua simu yako wanaiangalia wanakurudishia unaulizwa we mamdogo mbona hutumii Iphone asa hii simu gani? Hapo watoto wana vyombo vyote unavyoviota ukiokota hela ununue.. Ooh unanyamaza tu ukishakunywa juice ya matunda unakung'uta matako haya daladala liko wapi unasanzuka kwenu kusikokua na vitasa wala komeo huku ukijiambia nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani, kukosa hela ni sehemu ya maisha

Hahahhaahhaa mama anamiliki fortuner.....dah!yaani unapita mulemulee! Ukifika hom upitie vigondi vya kuku upike ugali ule
 
Huna karo la kuoshea vyombo wala steel wire unaweka vyombo mchangani mchanga wako uko wapi unasugua ukoko biashara imeisha ..huku ukijisemea watoto wale wazazi wao wakianguka watapata shida sana

🤣🤣kuwa na karo ni umaskini tu kama umaskini mwingine...watu wana sink za jikoni mamy jua hilo😊😊sink tu laki 2😊!.wewe unaoshea vyombo jamaa soap wenzako wanaoshea sabuni speshel kwa vyombo! Chombo kinabak kinang'aa..kinanukiaaa😊😊!
 
Adabu itoke wapi wakati huna hata Vitz ya kukopa. Utafata wanachotaka la sivyo unaleta machafuko na uchochezi ,Watoto wana kejeli wanachukua simu yako wanaiangalia wanakurudishia unaulizwa we mamdogo mbona hutumii Iphone asa hii simu gani? Hapo watoto wana vyombo vyote unavyoviota ukiokota hela ununue.. Ooh unanyamaza tu ukishakunywa juice ya matunda unakung'uta matako haya daladala liko wapi unasanzuka kwenu kusikokua na vitasa wala komeo huku ukijiambia nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani, kukosa hela ni sehemu ya maisha
Komenti yako imenihuzunisha..
 
Back
Top Bottom