Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

Huyo anaafadhali wengine sijui tunagundu nina wangu huyo kuja tu muonana na kupiga story mpaka umtumie nauli ya toyo na toyo ni buku ila yeye anataka utume buku tano utasema anapanda fast jet kwa wiki Ela ya toyo tu unakuta umetumia elfu 20
 
kumbe hujui kuwa mchumba, mpenzi, mke, mme, hakopeshwi.... sasa wewe unataka ukopeshwe na huyo mwanamke hali anajua kanuni ni kwamba akikukopesha utailipa kwenye shuka usiku wa manane hali yeye anataka hela, cha kufanya wewe tafuta njia ya kuichukua bila kuweka neno nitakurudishia yaani tafuta mzinga wa maana na yeye atatafuta boom la maana tayari mnakuwa mmeishana
 
Wanawake gani unamaanisha ? Kuna wanaume kibao wa Kiafrika wameolewa na wanawake wa kizungu Ulaya, kuna mpaka docu youtube huko Mombasa, Wanawake wanawachukuwa wanaume wanawalipia kila kitu wanawapeleka Ulaya wanawagharamia wakifika huko wanaoana na kuanzisha familia, hivyo labda useme Wanawake waliokuzunguka lkn siyo wote, na mara nyingi unazungukwa na watu ambao mnafanana, hivyo hata wewe siajabu uko hivyo hivyo sema haujajijua tu bado, ...
 
Kwanini wanawake wengi ikatokea ukayumba kidogo au ukamwambia mpenzi wangu nisaidie kiasi fulan Ntrejesha anasema sina, huku unajua anayo,

Tabia inakera sana,
Wanawake wa kiafrika ndio wako hivyo. Nilikuwa na mchumba wa kizungu, tena mrembo haswaa kiasi kwamba tukitembea majamaa walikuwa wanampa miluzi kibao kila kona tukitoka out au tukitembea tu. Kwao ni matajiri sana, na baba yake ana private jet. Basi akaja tz, tukienda vacation mfano Dar au Zenj kutoka arusha tunakaa mahoteli ya $400 au zaidi kwa siku. Analipia kila kitu. Hata safari mafuta ya gari analipia yeye. Mimi anasema hela yangu niiweke kwa ujenzi tu. Tatizo alikuwa very controlling. Yani sikuwa na uhuru kabisa. Hapo ndio tukashindwana. Akarudi kwao akaolewa na mzungu mwenzake. Ilichukua muda mrefu sana maumivu kuisha. Pia penzi lake kwa kitanda hakuna hata mdada wa Tz hadi sass aliyemfikia. Kwa hio kama kwako kuwa controlled sio shida, tafuta mrembo mzungu. Ila binafsi pia kiuchumi niko sawa namshukuru Mungu. Kwa hio siwezi uza freedom yangu ili tu eti niwe na mzungu anayeni-control kila kitu
 
Hebu nipe connection ya hao wazungu namimi nifaidi mema ya dunia
 
Hii Sub topic inabidi iongezwe kwenye somo la uraia kwenye mambo ya Courtship and Marriage 😂!!!
Iitwe "Jinsi ya kumpata mke"

Nishawaambia humu a million times kama mwanamke wako hawezi ku spend on you thats not a reliable partner. Mwanamke wa kuwa nae au kuoa hakikisha si mbinafsi maana maisha yana changamoto sana usijiongezee tabu kuwa na mwanamke mbinafsi.

Mwanamke ambaye unamsaidia full ila yeye hawezi kukusaidia ukimhitaji ni mshenzi tu na hafai.
 
Huyo anaafadhali wengine sijui tunagundu nina wangu huyo kuja tu muonana na kupiga story mpaka umtumie nauli ya toyo na toyo ni buku ila yeye anataka utume buku tano utasema anapanda fast jet kwa wiki Ela ya toyo tu unakuta umetumia elfu 20
% kubwa ya wanawake ni wabinafsi kuna mmoja mpaka ilipidi nimpige chini kwa hasira japo alikuwa mchepuko tu lakini nikianza nae kitambo sanaa tangu niko chuo wao ni family friend mpaka nikipokuja kuoa bado nlikuwa namega kisela tatizo lake ndo km hivyo ni mfanyakaz serikalin lakin ukimpanga apoint au akufate mkoa ulipo basi hata akitumia nauli yake atataka umrudishie hata akitumia boda ya buku atataka buku lake lirud nilivumilia yakanishinda nkamchana live siku moja nkapiga chini mazima
 
Wanawake gani unamaanisha ? Kuna wanaume kibao wa Kiafrika wameolewa na wanawake wa kizungu Ulaya, kuna mpaka docu youtube huko Mombasa, Wanawake wanawachukuwa wanaume wanawalipia kila kitu wanawapeleka Ulaya wanawagharamia wakifika huko wanaoana na kuanzisha familia, hivyo labda useme Wanawake waliokuzunguka lkn siyo wote, na mara nyingi unazungukwa na watu ambao mnafanana, hivyo hata wewe siajabu uko hivyo hivyo sema haujajijua tu bado, ...
🤣
 
Fuga dread....

Piga tizi...uwe mkakamavu na 6 packs kimtindo.....

Uwe unakwenda kushinda maeneo ya BEACH ambayo yana watasha....kule Zenji ni rahisi "kuton...ozwa na hivyo vinyanya vya kitasha"
Ngoja nihamie zenji ... Tena Jana nilisoma thread inayo muhusu Hussein mwinyi akitoa pendekezo la kushushwa Kodi kwa wafanyabiashara bila Shaka patanifaa sana kule
 
Wanawake wa kiafrika ndio wako hivyo. Nilikuwa na mchumba wa kizungu, tena mrembo haswaa kiasi kwamba tukitembea majamaa walikuwa wanampa miluzi kibao kila kona tukitoka out au tukitembea tu. Kwao ni matajiri sana, na baba yake ana private jet. Basi akaja tz, tukienda vacation mfano Dar au Zenj kutoka arusha tunakaa mahoteli ya $400 au zaidi kwa siku. Analipia kila kitu. Hata safari mafuta ya gari analipia yeye. Mimi anasema hela yangu niiweke kwa ujenzi tu. Tatizo alikuwa very controlling. Yani sikuwa na uhuru kabisa. Hapo ndio tukashindwana. Akarudi kwao akaolewa na mzungu mwenzake. Ilichukua muda mrefu sana maumivu kuisha. Pia penzi lake kwa kitanda hakuna hata mdada wa Tz hadi sass aliyemfikia. Kwa hio kama kwako kuwa controlled sio shida, tafuta mrembo mzungu. Ila binafsi pia kiuchumi niko sawa namshukuru Mungu. Kwa hio siwezi uza freedom yangu ili tu eti niwe na mzungu anayeni-control kila kitu
Hukuwa na commitment mzee

Wazungu wanapemda.mahusiano serious na na yenye commitment .

Sasa mzee wa kusugua Gaga ndio maana umemshindwa
 
Back
Top Bottom