MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 710
Waungwana,
Ukiviona vitu hivi vinauzwa, NITAFUTE HARAKA SANA! Usiku wa kuamkia Machi 1, 2013, tuliingiliwa na wezi nyumbani, wakatukomba vitu vingi, lakini hivi ndio haswa majembe yetu.
1. Apple iMac desktop, 20-inch, 2008 model. Silver case, black back. Ina 4GB RAM, nilifanya upgrade. Keyboard yake, aluminium, imechoka, mouse imechoka, lakini data za uhakika zimo humo ndani.
2. Dell Inspiron 1525 laptop, green in colour, IMECHOKA KWELI, yaani hata keys zake nyingi zimefutika, na baadhi hazipo kabisa. Data za uhakika zilizopo ndizo tunazozitaka. Atakayenunua hataelewa maana yake, kwani ni JIGSAW PUZZLE!
3. Dell Dimension PC, black, ya zamani lakini ina data nyingi za mpwa wangu, anamaliza Form VI mwaka huu! Mitihani yake, research papers, projects, kila kitu cha shule, kimo humo ndani!