Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea


Kabisa mwanaume wa machain tunashindana au wa kutia hina mwilini(tatoo). Za nini simple ukikuta mwanaume wa kujiremba sana hajiamini
 
Katika vyote mie mwanaume avae avaavyo ila siyo kisharo,,ila nazimika zaid akiwa ananukia unyunyu flan ila shart awe mrefu !
 
Kuna watu walidanganywa kuwa wanawake hawatamani!!! Imekula kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…