Siyo ghali kihivyo clacks 70,000/=ukienda mtumbani 40000/= safi kiatu pure leather ..ila mchina akubali dawa anakamata vumbi acha mchina utanipata katika raba.Its true mwanaume akiwa smart anapendeza,kwangu mimi haijalishi ni original au fake ila viwe na rangi nzuri za kiume siyo crazy colour,kwanza vitu vya kiume ni bei sana waacheni wavae kichina tu,mwanamke anaweza akavaa juu mpaka chini kwa 20,000 na akatoka vizuri sana kila mtu akamkubali,lakini kwa mwanaume ni ngumu.
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo
Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

pesa ndo kila kitu mengine mbwembwe tu...
Siyo ghali kihivyo clacks 70,000/=ukienda mtumbani 40000/= safi kiatu pure leather ..ila mchina akubali dawa anakamata vumbi acha mchina utanipata katika raba.
jiandae kuchapiwa
Uko kama mimi....ila shati lisiwe la maua lol..
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo
Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl
Huko ndo balaaa sema mimi nipo Ngorongoro W Lodge kwa muda karibu😱
daah ungekutana na mimi tayari wangu!
asikuambie mtu mwanaume awe smart % kubwa ya kukubalika unayo
asijitundike crazy colour za vipepeo..nguo oversize....
ya nn hayo jaman kama siku za kazi shart lenye rangi zilizotulia,suruali safi kiatu leather clarks nywele fupi
mwanaume akiwa smart daaa akinitongoza nachanganyikiwa