Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea

Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

Hahaha, ongeza mengine ya aina iyoiyo.
 
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl


 
asikuambie mtu mwanaume awe smart % kubwa ya kukubalika unayo

asijitundike crazy colour za vipepeo..nguo oversize....

ya nn hayo jaman kama siku za kazi shart lenye rangi zilizotulia,suruali safi kiatu leather clarks nywele fupi

mwanaume akiwa smart daaa akinitongoza nachanganyikiwa
 
Its true mwanaume akiwa smart anapendeza,kwangu mimi haijalishi ni original au fake ila viwe na rangi nzuri za kiume siyo crazy colour,kwanza vitu vya kiume ni bei sana waacheni wavae kichina tu,mwanamke anaweza akavaa juu mpaka chini kwa 20,000 na akatoka vizuri sana kila mtu akamkubali,lakini kwa mwanaume ni ngumu.
 
Hivi kina dada nauliza tu, mnajuwa bei za nguo za kiume???....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…