Wanau me tuna vitu vinatufanya tupendwe na wanawake hasa kwa mara yakwanza kukutana naye! Na ukashindwa kuelewa nini kimemfanya mwanamke akubali haraka jibu ni wewe na mwonekano wako!ndo uliomvutia pamoja na kiambatanishi cha sound zako! Nikiwa katika pitapita zangu nikakutana na wadada wakawa wanasema katika vitu nampendea mwanamme ni mwonekano wake ikiwemo na mavazi yake napenda mwanaume avae vitu original hata kama ni vya mtumba lakini akivaa vitu vya kichina namshusha sana!akataja kwa mfano! Saa Original Mkanda wangozi original siyo ya wamasai Viatu pure leather vinavyoendana na na wakati siyo kuvaa YU TOUNG(mchina) Napenda mwanaume avae flana ya ndani yani vest Hata nikienda naye room nimkute na Boxer cotton siyo boxer imeandikwa TMK au kind of stuff Chen,pete kavaa ya ukweli kama silver iwe silver kweli na kama gold iwe gold kweli siyo kavaa mabati! Nikaona dah kumbe wanawake uangalia mengi kwetu sisi wanaume!Basi nikaondoka kimya maana nikaona wasije na mimi wakanisasambua bure maana najijua ila nilikuwa nimepiga vya ukweli.