Ukiua katika ajali faini laki saba tu!

Ukiua katika ajali faini laki saba tu!

Ni hivi, kama aliyegonga ni fisadi la type ya vijisent, fain ni mawe 7. Ila kama atakae gonga ni type ya matonya fain ni vitabu vi3.

Kwa hiyo basi, kuonga ni mawe 7 au vitabu vi3.
Kuchinja ni mawe 6 au vitabu vi2
Kuua kwa SMG au AK 47 ni miwa 70
Kuua kwa kichapo cha ngumi ni bwerere
Swali lingine??!!!!
 
Aahhh safi sna nanunua greda kuwagonga maadui zangu wote kumbe laki 7 tuuu:whoo::whoo::whoo:kwa vichwa 2

Angalia sana Mkuu,
Hukumu ya aina hiyo haitakutambua wewe. Ni hukumu yenye wenyewe. Si ulimuona MAMA VIJISENTI alivyokuwa akivipekuwa vijisenti hapo hapo mahakamani kama vile alijulishwa mapema kwamba atatakiwa alipe LAKI7! Nafikiri familia ya Mzee wa Vijisenti ilikuwa na Nakala ya Hukumu hata kabla ya kufika mahakamani hapo na hata kabla ya hukumu yenyewe kutolewa.

Achana na Ndoto za kununua greda kwa ajili ya hiyo dhamira. Wewe utapigwa mvua zidi ya Babu Seya.
 
Hiyo ndo tanzania yetu yenye haki sawa na demokrasia!!!!!!!!!!!!! Kweli inasikitisha sana....mimi sijakubaliana na hukumu...wadau mliosoma sheria tufafanulieni!!!!
 
eeehehe, kwa kweli nchi hii, wenye hela ndio wenye kumiliki roho za watu maana akikuuzi tumia tu gari umugomge kesi ni hapo hapo alfu uwekwi rumande hila fain 7 lakini zamani ilikuwa 20,000/= tu naona huyu kapanda sana!!!
 
Bongo bwana lakini mtu akiwa anauza vipodozi/matunda mjini mgambo wana funga miezi 6 kisa mzururaji na faini juu ukiuwa laki saba, ukiibia au kupoteza hela ya wanachi(lazima mabilioni) miaka miwili au mmoja (liyumba)
 
iNANIUUUUMA SAAAANA !

Hebu angalia upande wa pili,

August 14, 2009

Madereva Ubungo Wagoma.

.fullpost{display:inline;}Asubuhi hi madereva wa mabasi yaendayo mikoani wamegoma. Tangu alfajiri leo asubuhi hakuna basi lolote lililotoka Ubungo bus Terminal. Madereva hawa wanadai kwamba dereva mwenzao alikuwa akiendesha mabasi ya Mohamed Trans aachiwe huru. Dereva huyu alihukumiwa kwenda miaka thelathini jela baada ya kusababisha ajali iliyoua mtu. Madereva hao wanasema kuwa ball joint ya basi hilo ilichomoka na kusababisha basi kupoteza mwelekeo hatimaye kusababisha ajali hiyo.

Hadi hivi sasa Hakuna basi lolote lililondoka Ubungo isipokuwa mabasi mawili ya Tahmeed ambayo huwa hayaingii kituoni Ubungo. Safari yake uanzia Kariakoo (Lumumba) na kuenda moja kwa moja hadi Tanga au Mombasa.

at 8:09 AM

3 comments:

blank.gif

Anonymous said... Kamanda Kova ndio amefika sasa hivi, wanaendelea na mazungumzo. Naona hapa FFU wapo maana kuna madereva fulani walitaka kuanza safari hapo awali matokeo yake wakala kichapo na madereva wanzao.
9:02 AM

9:03 AM
blank.gif

Anonymous said... Mizengo Pinda ameshatatua tatizo magari yameanza safari kuelekea mikoani.
 
SASA Huyu... Wa faini la Laki 7 kwa mtu 2 + Bajaj + Fedha za marehemu...etc Mungu huwa ndiyo ana Deal na Watu kama hawa ......

Duuu.... Tanzania..... we acha Tuuu....Thats why we all crying for the KATIBA.....
 
Back
Top Bottom