Ukiua katika ajali faini laki saba tu!

kwani mmesahau ya zombe?

ile si walisema walikosea mashtaka kuwa zombe aliua badala ya kuwa alishiriki. Kweli mahakama haikumkuta na kosa la kuua,ila jaji akashauri next time wamchunguze kwa kushiriki mauaji na si kwa direct kuua. Full komedi?
 
kwani mmesahau ya zombe?

ile si walisema walikosea mashtaka kuwa zombe aliua badala ya kuwa alishiriki. Kweli mahakama haikumkuta na kosa la kuua,ila jaji akashauri next time wamchunguze kwa kushiriki mauaji na si kwa direct kuua. Full komedi!
 
unanitoa machozi. Ila kwa wafiwa hawapati chochote,bora wa Ditopile Ukiwaona Mzuzule walipelekwa na govt.kuhiji. Hawa wanatoka kapa kwani mzee vijisent alishtakiwa na JMT,wafiwa na jamaa ni mashahidi tu. Faini itakuwa revenue ya govt.ya mkwere ambaye ni mshikaji wa vsenti. What goes around,goes around and later comes around. Mkwere atavuta waya na kumwambia vsenti,soo limeisha njoo uchukue lak7 zako,namwachia mlinzi getini hapa,mi nasafiri Hongkong kesho asubuhi.

Niambieni aina ya gari anayoendesha mr Chenge na tag # yake then nitamgonga uso kwa uso afe papo na laki 7 ninayo. Hii ni kwa kwa niaba ya marehemu wawili. Damu ya marehemu imo mikononi mwake.
Baada ya hapo nitaanza kuwagonga mafisadi wote hapa mjini. Chonde chonde mkinisikia
 
Hivi sheria za uongozi zinasemaje kuhusu mtu aliyetiwa hatiani kwa kosa la jinai?. Ninakumbuka Aden Rage japo alipewa msamaha wa rais lakini ali fight kusafisha jina lake mpaka pale alipokutwa hana hatia. Mtikilila uchaguzi wa 2005 alitaka kuwekewa ngumu kuwa aliishatiwa hatiani kwa kosa la jinai na hivyo hana sifa za kuwa mgombea, ali-fight na kuthibitisha kuwa yeye alikuwa mfungwa wa kisiasa na hakufanya kosa la jinai. Je Chenge anaendelea kuwa mbunge?, anaendelea kuwa mwenyekiti wa kamati ya maadili ya CCM wakati yeye mwenyewe ni CRIMINAL ?
 
Kama Rage na Chenge wako ktk kamati ya maadili ya bunge basi ndio kuishiwa, manake kesho mtasikia mmoja wao amekuwa sijui waziri wa Tawala Bora LOL!!!!
 
Niambieni aina ya gari anayoendesha mr Chenge na tag # yake then nitamgonga uso kwa uso afe papo na laki 7 ninayo. Hii ni kwa kwa niaba ya marehemu wawili. Damu ya marehemu imo mikononi mwake.
Baada ya hapo nitaanza kuwagonga mafisadi wote hapa mjini. Chonde chonde mkinisikia

vuvuzela yule fisadi ana magari mengi tena tinted. Usije ukamgonga mtu mwingne bure. Mkuu nashauri tuanzishe Operation Vizia mafisadi(OVM) Kila ukimwona fisadi unamkwida,au unamkaba na kulala mbele. Hii yaweza kuwa dawa!
 
vuvuzela yule fisadi uyu ana magari mengi tena tinted. Usije ukamgonga mtu mwingne bure. Mkuu nashauri tuanzishe Operation Visia mafisadi(OVM) Kila ukimwona fisadi unamkida,au unamkaba na kulala mbele. Hii yaweza kuwa dawa!

basi nitakuwa invigilante kama vile alivyofanya Charles Bronson kwenye Death Wish 2!!!!!
 
Laki saba nzuri, mahakama imeamua. Heshimuni maamuzi ya mahakama zetu. Mbona ya dowans na radar tumeziheshimu?
 
Mkuu inaelekea umewahi kuua. Mbona unazijua sana hizo figure?
Yaelekea hujaisoma hukumu yenyewe. Chenge amepatikana na hatia ya makosa manne, yakiwamo mawili ya kuua bila kukusudia, ambapo kila kosa lina fine ya 250,000.
 
Mungu ni lini utarudi tena ukawahukumu hawa watu kwa matendo yao. Sidhani kama ukienda Segerea utaambiwa wote waliofungwa kwa kosa la kugonga na kuua walipewa option either kulipa laki saba au kwenda jela miaka mitatu. Wengi wao utakuta wanatumikia kifungo cha muda mrefu. Haki itapatikana lini Tz. yangu? Chenge ujumbe kwako na msela wako wa karibu 'Always what goes around comes around.' Umetoa uhai wa mtu kwa uzembe wako damu yake haitaenda bure. Wewe na aliyetoa hukumu mungu anawaona na hukumu inawasubiri. Kwa mungu hakuna pesa. Halafu mimi nashangaa huyu mtu anaitwa chenge hana roho huyu mtu au ni kiburi kama dunia aliiumba yeye?? Familia mliompoteza ndugu yenu kwa uzembe wa huyu mtu mungu atawalipa mzidi kuomba na mungu atafanya miujiza hakuna linaloshindakana kwa mungu.
 
Nakala ya hukumu imeshatoka? Ni vyema tukajua hakimu na jopo lake walimkuta ana hatia kwa makosa gani na hapo ndipo hukumu hii inaweza kuleta maana. Ila mimi nilijua tu kutoka mwanzo kwamba mtu mzima na wanasheria wake walikuwa wanapigania kosa liwe la sheria za barabarani (traffic related). Lile kosa la kuua bila kukusudia (ingeweza kuwa kukusudia kama upande wa Jamhuri ungejipanga) lilishapanguliwa toka zamani.

Mzee Chege anaujua mfumo na wachezaji wake vizuri na yeye alikuwa anacheza nao ndani ya chaki. Onyo!, Igeni Mfe
 
Mahakama za hii nchi ni za ajabu-independence of judiciary haipo-maana hizo judgment wanakuwa wafanya consensus kwanza ndo isome kwenye public
 
Kwa Upande wa CCM Hii Ndio Maana ya Haki. Familia ya Mkubwa Wanaenda Nyumbani kwa Furaha Ila wa Lala Hoi Makabulini Kama Kawaida. Tunaomba Jina la Jaji na Mwendesha Mashtaka wa Hii Kesi Please. Wananchi Wamejaa Jela na Kama Wangekuwa Wanapata Adhabu Kama Hizi Kila Mara Mbona Inchi Ingekuwa Imebadilika Leo, Ila Wao ni Jela Mtindo Mmoja na Kazi Ngumu Juu.

"Watanzania Wanaokaa Kimya na Kutochukua Hatua Yeyote Ile ni Kukubaliana na Maadili ya Kunyanyaswa. Tufanye Mabadilko kwa Pamoja"
 
Kwa kweli ukisoma comments za Deus Mallya kwenye Tanzania Daima ndo unapata uchungu zaidi maana yeye alihukumiwa kwenda jela miaka 3 bila option ya fine tena kwa kosa moja tu ambalo naye Chenge ametiwa nalo hatiani. Ukiniuliza mimi, nitasema kwamba hata hiyo conviction sikuitarajia kama ingetolewa, achilia mbali adhabu aliyopewa maana tulipo sasa hivi ni kwamba "the best justice depends on how deep one's pockets are". This is due to the fact that justice is currently on sale in this country. Jela ni kwa wale ambao hawana vijisenti au jina. Kwani ile kesi ya kusababisha vifo kwa ajali pale kwenye Chinese Restaurant ya Morroco (Bagamoyo Road) anapopiga music Lady Jay Dee, imeshafikishwa mahakamani?
 
Nakala ya hukumu imeshatoka? Ni vyema tukajua hakimu na jopo lake walimkuta ana hatia kwa makosa gani na hapo ndipo hukumu hii inaweza kuleta maana. Ila mimi nilijua tu kutoka mwanzo kwamba mtu mzima na wanasheria wake walikuwa wanapigania kosa liwe la sheria za barabarani (traffic related). Lile kosa la kuua bila kukusudia (ingeweza kuwa kukusudia kama upande wa Jamhuri ungejipanga) lilishapanguliwa toka zamani.

Mzee Chege anaujua mfumo na wachezaji wake vizuri na yeye alikuwa anacheza nao ndani ya chaki. Onyo!, Igeni Mfe

Yes, na kama unajaliwa kupata watoto , kuna umuhimu wa kusomesha one of them, law.

Unakuwa na mwanasheria ndani ya familia
 
Back
Top Bottom