Ukitoa kijiti, mimba huingia baada ya muda gani?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Habari wakuu!

Naomba kueleweshwa, ikiwa mwanamke anayetumia kijiti Kama njia ya uzazi wa mpango atatoa kijiti kabla ya muda wake wa matumizi kufika, mfano kijiti Ni Cha miaka mitatu yet akatoa baada ya mwaka mmoja,

Je, itachukua muda gani kwa yeye kupata mimba?
 
Nadnan majibu yapo kwe aliyekuwekea na aliyetoa anawez kujua vizuri.
Ila moja ya shida ya kijiti ki kuvhelewa kupata ujauzito kwa wakati...yaan baada ya kutoa unaweza kutafuta mimba na usipate kwa wakati flan
Ahsante mkuu!
 
Hata kikiwemo kuna namna ya kifanya kitu inazama. Waulize wenyeji wa Lindi watakupa ujuzi huu.
 
Nadnan majibu yapo kwe aliyekuwekea na aliyetoa anawez kujua vizuri.
Ila moja ya shida ya kijiti ki kuvhelewa kupata ujauzito kwa wakati...yaan baada ya kutoa unaweza kutafuta mimba na usipate kwa wakati flan
Kweli kabisa, au wengine kupata matatizo ya hedhi, pole wakina mama, yahitaji subira, msosi wa kutengeneza ASKARI, mazoezi, kuacha mapombe na masigara, na mwisho kusimamia vidole kabisa.
 
Habari wakuu!
Naomba kueleweshwa, ikiwa mwanamke anayetumia kijiti Kama njia ya uzazi wa mpango atatoa kijiti kabla ya muda wake wa matumizi kufika, mfano kijiti Ni Cha miaka mitatu yet akatoa baada ya mwaka mmoja, Je itachukua muda gani kwa yeye kupata mimba?
Hapohapo itaingia no time to waste
 
Nadnani majibu yapo kwa aliyekuwekea na aliyetoa anaweza kujua vizuri.

Ila moja ya shida ya kijiti ki kuchelewa kupata ujauzito kwa wakati...

Yaani baada ya kutoa unaweza kutafuta mimba na usipate kwa wakati fulani.
Umesema kweli kabisa.
 
Kiujumla ni kuwa mfumo wako utachukuwa muda mpaka kurudi sawa,hivyo inaweza kutunga wakati wowote ule usio utarajia,inaweza kuwahi au ikachelewa sana...
 
Habari wakuu!

Naomba kueleweshwa, ikiwa mwanamke anayetumia kijiti Kama njia ya uzazi wa mpango atatoa kijiti kabla ya muda wake wa matumizi kufika, mfano kijiti Ni Cha miaka mitatu yet akatoa baada ya mwaka mmoja,

Je, itachukua muda gani kwa yeye kupata mimba?
Kijiti gani tena jamani?
 
Back
Top Bottom