Ukithubutu unaweza

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
Habari

Si jambo rahisi kuanzisha kitu na kiweze kufanikiwa kwa urahisi urahisi tu bali unatumia nguvu za ziada kuanzisha na wakati mwingine usiweze kuona mafanikio ya papo kwa papo waweza kusubiri miaka na miaka na mwishowe unaanza kukata tamaa.
Mpendwa wangu kufanya kitu kunahitaji ujasili wa hali ya juu na kunahiitaji kujitoa kwa hali ya juu sana mpaka uweze kufanikisha lile kusudio ulilotaka kulifanya kama wewe umeamua kufanya biashara au kusoma tumia nguvu za ziada ili uweze kufanikisha azma yako uliyokusudia kwa wakati wako kwa ni mlia kivulini alitafutia juani hivyo una budi kukaza buti na kufany kile ulichoshindwa kikawezekana ndo mana nasema kuwa 'UKITHUBUTU UNAWEZA FANYA MAAMUZI SASA YALIYOSAHIHI DO IT'

THANKS
 
Ahsante, mi pia kuna kitu nataka kufanya ila naogopa. Umeniinspire.
 
Ahsante, mi pia kuna kitu nataka kufanya ila naogopa. Umeniinspire.

my pal ... ile biashara ya transportation ya samaki wa mwanza especially sato imeshindikana ... therere is no enough stock to haulage to dar per week ... so itakuwa hasara kwangu kununua refreigirated truck ... hivyo basi kile kitoweo ambacho ungeshushiwa pale dom imeshindikana ...i have another plan i will let you all know ... pole sana pal ....
 
ansportation ya samaki

ooh jamani, pole sana pal. Ila bora umelijua hilo mapema. Tunasubiri another plan, i guess itakuwa plan kabambe zaidi.
 
Back
Top Bottom