Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

Venda thana kubajwa,yan hao ukigusa tu hamna mjadala ula kishi
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia zote......
 
Last edited by a moderator:
nIMECOMMENT BILA KUSOMA MAELEZO ILA SISI TUMEAMBIWA OA WANAWAKE WOTE ILA SIO MPARE COZ NI MALAYA SANA NA HUWEZI AMINI NIKO NAYE HAPA LOOG TUNAKULA RAHA NA NI MKE WA MTU NILIMPA HI TU AKANIULIZA WAPI NIKAMJIBU KIUTANI GUEST AKANIAMBIA NIKUSINDIKIZE NIKAMJIBU YES KANIFUATA NA NIKO NAYE HAPA.soory baadae nitasoma maelrzo niliyemkaza sorry
 
Wanajua caring hao hatareeee, ila suala la kuvua pichu linasemwa semwa sina uhakika nalo
 
mpare amelelewa kwa maadili kweli japo nakiri siwote ila ukimkuta aliyepotea chunguza makuz yake unaweza gundua amekulia mbali au mjini.ila aliyekulia jimboni lazima anyooke
 

Wewe umeongea asili ya tabia zao za ukweli
 
Last edited by a moderator:
Hahaahhaahhaha! Haya vaathu nzoni kunu!

Kaskazini pamoto wewe! Wanawake bora ni kusini. Wabena, wahehe nakadhalika!

Hehehe! But vyote hivi bana havina uzito wowote. Tabia binafsi ya mtu ndio inaa uzito.
Ungeniambia beki 3 zinapatikana kusini sawa ningekuelewa
 
Bro unawapigia debe dadazako eh. Hakuna kabila zuri wala baya, tabia ni ya mtu mwenyewe

nAKUAPIA WANAWAKE KWA WANAUME WAKIPARE NI HATARI TUPU KWA NDOA WENGI WAMEKUFA KWA KALE KADUDU KA MAREKANI WAAMBIA JAMAA ZAKO AU WANAOISHI NAO KARIBU WAKUAMBIE MIMI NIMEISHI NAO NAWAJUA
 
Mkuu vipi upande wa wanaume? Nao hivyohivyo kama dada zao?

yAANI KUMBE KUNA WATU WANA MACHO LAKINI HAWAONI WOTE NI HATARI KAMA HUAMINI ONE DAY TAFUTA KAHELA KAKO PANDA SAIBABA AU MERIDIANI HAYA NI baadhi ya MAGARI YANAYOTOKA HAPA DAR KWENDA HUKO KWAO HUONE WANAVYOKUAMBATIANA KWA GARI NA KILA SIT JINSIA DIFFER
 
Mkuu vipi upande wa wanaume? Nao hivyohivyo kama dada zao?

yAANI KUMBE KUNA WATU WANA MACHO LAKINI HAWAONI WOTE NI HATARI KAMA HUAMINI ONE DAY TAFUTA KAHELA KAKO PANDA SAIBABA AU MERIDIANI HAYA NI baadhi ya MAGARI YANAYOTOKA HAPA DAR KWENDA HUKO KWAO HUONE WANAVYOKUAMBATIANA KWA GARI NA KILA SIT JINSIA DIFFER.siku ya kwanza nilidhani nimepanda gari la sinema hali ilivyokuwa
 
Mm niliambiwa tu, Babu aliacha wosia tusioe wapare!. Siju babu aliona nini huko!

wewe waweza kuwa ndugu yangu coz hata sisi tuliambiwa hayo maneno na kupewa kila mtu maandishi.nitakupm baadae
 
Kwel nakuhakikishia hawa si watu wazur..tunaishi nao jiran hawpend mtu afanikiwe.watoto wangu nimefanikiwa wamefaulu vizuri form 4,wanakasirika hata salam haitiki usiku unaona maruerue mara mapaka ya ajbu,sauti za ajabu usiku....ushirikina mwingi,jaman jaman epukeni watu watu
 
Aisee utakapoangukia pakiwa pazuri shukuru Mungu ...siyo wapare wote wana viwango hivyo...Mimi hawa huwa napewa caution juu yao
 
nAKUAPIA WANAWAKE KWA WANAUME WAKIPARE NI HATARI TUPU KWA NDOA WENGI WAMEKUFA KWA KALE KADUDU KA MAREKANI WAAMBIA JAMAA ZAKO AU WANAOISHI NAO KARIBU WAKUAMBIE MIMI NIMEISHI NAO NAWAJUA

Acha kuropoka kiongozi, haikusaidii. Nenda upareni fanya sensa. Katika jamii zilizoumizwa na ngoma wala hatumo kivile.
 
Kwa hiyo hao wapare ndo wanaokuloga? You can't be serious kabisa, tatizo nyie mna ushirikina akilini mwenu, ukiamka kichwa kinauma lazma umfikirie mtu flani kakuloga. Kwa Hilo watz tumekuwa maskini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…