Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Kazi kweli kweli bwashe...! Mie ninao masista kibao..nawakaribisha wote wenye uhitaji wa kuoa.
ni wakorofi ndo maana hawaoleki,endelea kukaribisha usichoke,hivi lami imeshafika kikweni?
Kazi kweli kweli bwashe...! Mie ninao masista kibao..nawakaribisha wote wenye uhitaji wa kuoa.
Kati ya kabila ambalo usithubutu kuoa ni hilo hapo:
1.Ni wafitini sana na wenye majungu wasiotaka maendeleo
2.Wanapenda sana ushirikina kupita kiasi na ushahidi ninao kwa wanawake zaidi ya kumi
3.Ukioa huko wakwe wanahamia kwako wote kule kwao wanahama
4.Hawapatani na majiran hata watendewe wema vipi
5.Wanapenda sana chini a.k.a michepuko
USHAURI: Usithubutu kukutwa utajuta maisha yako;;;;;;;;;;;;;
Nadhani hizo sifa zilizotolewa na MTENDAHAKI ni kinyume......
Hahahaha....! nimecheka sana!
..karibuni sana upareni, mle kande..!
weeee nani kakwambia tuna hzo tabia za kulala na mababa acha uongo
Bwashe zamu yako imefika lol.
Kaaz kweykwey....
Nimebahatika kutembelea
sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa
mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio
katika ndoa!Nimegundua wanaume wengi waliooa kabila la kipare wanfuraha
sana ndani ya ndoa zao. Sifa kubwa zilizosemwa na wanandoa hawa wa kiume
wa makabila toka kusini mpaka kaskazini, mashariki mpaka magharibi ni
kama zifuatazo:
1. Wanawake wa kipare wanamheshimu sana mume na ni waaminifu sana
2. Sio wepesi wa hasira na hawana visasi
2. Wanawake wa kipare ni wakarimu sana kwa wageni wa pande zote mbili
kwao na ukweni, na hata kwa marafiki!
4.Wanawake wa kipare wanajua sana kulea watoto katika maadili mema
5.Ni wachapakazi sana
Hizi ndizo sifa nilizoweza kuzifupisha kutokana na udadisi wangu.
HONGERA WAPARE, NATAMANI NINGEKUWA SIJAOA HUYU MCHAGA WANGU!NINGEENDA
UPARENI!
Na sifa za wanaume wapare ni zip?
Kati ya kabila ambalo usithubutu kuoa ni hilo hapo:
1.Ni wafitini sana na wenye majungu wasiotaka maendeleo
2.Wanapenda sana ushirikina kupita kiasi na ushahidi ninao kwa wanawake zaidi ya kumi
3.Ukioa huko wakwe wanahamia kwako wote kule kwao wanahama
4.Hawapatani na majiran hata watendewe wema vipi
5.Wanapenda sana chini a.k.a michepuko
USHAURI: Usithubutu kukutwa utajuta maisha yako;;;;;;;;;;;;;
Nadhani hizo sifa zilizotolewa na MTENDAHAKI ni kinyume......
bila kusahau ugali na maperehe ya kushotia
heee huyo dada wa kipare nayemjua mie mdomo wake kama kameza mavi, hiyo mitusi inayotoka hapo!
Wew ni mpare???
ni wakorofi ndo maana hawaoleki,endelea kukaribisha usichoke,hivi lami imeshafika kikweni?
nina wasiwasi kuwa hata hawavai chupi,ni free entrance
Nani kakudanganya uku kwetu tunawaita chupi juu yakirinda hawana miko awo ata babaake analala nae kwao ruksa nani wao nakukuhakna tofauti
Pure bila kuchovya..!
kumbe na we mpare, haya tuambie anachosema ni kweli au anapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Stereotypes are a mark of syphilitic parochialism!
naona unaanza kuvutika kidogo kidogo,usije mpiga chini mdogo wangu bhana,huyu anawapaka mafuta tu wang'ae,mambo yote yako kule