Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

Hahahahahaha lol!!!! Ugali unaisha kila siku lakini "picha ya thamaki" ipo kila siku inasaidia kuleta shibe 🙂🙂 Chezeya Wapare Mkuu.

.....Kwa "picha ya thamaki" mkuu..!
 
Hongera wapare najua sio wote sasa munaopinga fanyeni utafiti mutuletee
 
Hahahahahaha lol!!!! Ugali unaisha kila siku lakini "picha ya thamaki" ipo kila siku inasaidia kuleta shibe 🙂🙂 Chezeya Wapare Mkuu.

Hahaha..lol. Nawe kama wataka kuwa shemeji karibu sana kiongozi. Kwanza kande then dona kwa picha ya thamaki...lol.
 
Hahaahhaahhaha! Haya vaathu nzoni kunu!

Kaskazini pamoto wewe! Wanawake bora ni kusini. Wabena, wahehe nakadhalika!

Hehehe! But vyote hivi bana havina uzito wowote. Tabia binafsi ya mtu ndio inaa uzito.

inda mboa mboa vesie yavae..
 
heee huyo dada wa kipare nayemjua mie mdomo wake kama kameza mavi, hiyo mitusi inayotoka hapo!
 
Nyamgluu hawa ni dada zangu, nawaheshimu sana na sitatia neno...!

huwezi kutia neno kwa sababu unajua walivyo wajeuri,na wakileta vitimbi kwa waume wakaka mnakwenda kuwatetea,kama vipi mnawachukua kwa waume zao,nina mifano minne
 
Last edited by a moderator:
Nani kakudanganya uku kwetu tunawaita chupi juu yakirinda hawana miko awo ata babaake analala nae kwao ruksa nani wao nakukuhakna tofauti

weeee nani kakwambia tuna hzo tabia za kulala na mababa acha uongo
 

hapo kwenye ufitini ndo usiseme,wana ndimi mbili kama nyoka
 
Last edited by a moderator:
Matege njoo huku wanawasema
 
Last edited by a moderator:
Hivi Evelyn Salt ni kabila gani? na Mafikizolo ni kabila gani? nawapenda sana hawa wanawake. ninaandaa mipango mizuri juu yao!! :wave::smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…