Ukitaka mwanao awe na akili, mruhusu afanye hivi

Kwa hiyo Mleta Uzi unalaumu Wazazi wako Kwa kutokukupa ruksa ya kucheza hiyo michezo?
 
Wengi wanakuwa hawana akili darasani maana. wanawaza vipindi viishe wakacheze hiyo michezo yao

Ipo michezo ya kumfanya Mtoto awe na akili sio hiyo

Hiyo hapo ni kumfanya Mtoto achanganyike na wenzake na kuokota vijitabia ambavyo kwao havipo
 
Sio kweli ..kama baba na mama walikuwa vilaza usitegemee mtoto atakuwa genius
 
Akili zipo kwa mtoa mada
huu mfumo wetu wa elimu watu bado wanafikiri kuwa na akili ni kukariri masomo ya darasani! Viongozi wengi tulionao wameruka baadhi ya hatua wakiwa watoto wanazifanya sasa kazini ukubwani
 
Hata kama ni zezeta.
Kwani akili ni congenital au acquired.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…