kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,481
Kwahyo upo milembeSema atakuwa na afya bora.
Quote yako na comment yangu havifanani.Kwahyo upo milembe
huu mfumo wetu wa elimu watu bado wanafikiri kuwa na akili ni kukariri masomo ya darasani! Viongozi wengi tulionao wameruka baadhi ya hatua wakiwa watoto wanazifanya sasa kazini ukubwaniAkili zipo kwa mtoa mada
AiseeeKwahyo upo milembe
Fumba machoNaona pumba tu hapa