Ukitaka mwanao awe na akili, mruhusu afanye hivi

kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,232
2,481
AKILI MTOTO8.jpg
AKILI MTOTO1.jpg
AKILI MTOTO2.jpg
AKILI MTOTO4.jpg
AKILI MTOTO6.jpg
 

Attachments

  • AKILI MTOTO3.jpg
    AKILI MTOTO3.jpg
    48.3 KB · Views: 66
  • AKILI MTOTO5.jpg
    AKILI MTOTO5.jpg
    37 KB · Views: 55
  • AKILI MTOTO7.jpg
    AKILI MTOTO7.jpg
    51.7 KB · Views: 61
  • AKILI MTOTO9.jpg
    AKILI MTOTO9.jpg
    49.6 KB · Views: 61
  • AKILI MTOTO10.jpg
    AKILI MTOTO10.jpg
    39.2 KB · Views: 51
Kwa hiyo Mleta Uzi unalaumu Wazazi wako Kwa kutokukupa ruksa ya kucheza hiyo michezo?
 
Wengi wanakuwa hawana akili darasani maana. wanawaza vipindi viishe wakacheze hiyo michezo yao

Ipo michezo ya kumfanya Mtoto awe na akili sio hiyo

Hiyo hapo ni kumfanya Mtoto achanganyike na wenzake na kuokota vijitabia ambavyo kwao havipo
 
Sio kweli ..kama baba na mama walikuwa vilaza usitegemee mtoto atakuwa genius
 
Akili zipo kwa mtoa mada
huu mfumo wetu wa elimu watu bado wanafikiri kuwa na akili ni kukariri masomo ya darasani! Viongozi wengi tulionao wameruka baadhi ya hatua wakiwa watoto wanazifanya sasa kazini ukubwani
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom