Ukitaka mwanao awe na akili, mruhusu afanye hivi

Ukitaka mwanao awe na akili, mruhusu afanye hivi

Siku izi watoto wanacheza kweny marumaru na kubonya bonya laptop na midoli inayoongea,hizi mambo hawaziwez
 
Huo mchezo wa bearing(beringi) huo...dogo ajiangalie sana atakua kibogoyo soon.talking from experience!
 
Ni kama utani..japo kuna ukweli..michezo hii huboresha akili na afya, hasa katika mazingira yetu ya kibongo.
 
true vitu hivyo vinamfikirisha sana mtoto na kufanya ubongo uwe mchangamfu sana ,sema inabidi umzingatie asizidishe michezo akasahau shule
 
Back
Top Bottom