Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Sep 8, 2024 #1 Ukitaka kutunza pesa yako, jitahidi kuepuka hivyo vitu vitatu unavyoviona hapo kwenye picha. #women #betting #alcohol
Ukitaka kutunza pesa yako, jitahidi kuepuka hivyo vitu vitatu unavyoviona hapo kwenye picha. #women #betting #alcohol
MAJIYAPWANI JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,732 Reaction score 2,713 Sep 8, 2024 #2 Haaaaha kuna ki1 lazima utaruka nacho.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,621 Reaction score 131,531 Sep 8, 2024 #3 Itoe pombe asee
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,673 Reaction score 7,256 Sep 8, 2024 #4 mkuu hiyo njia ngumu legeza masharti kidogo..
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,603 Reaction score 60,857 Sep 8, 2024 #5 toa women hapo nyeto inachosha
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,793 Reaction score 86,547 Sep 8, 2024 #6 kipanga85 said: mkuu hiyo njia ngumu legeza masharti kidogo.. Click to expand... hivyo havilegei labda ulegee wewe!
kipanga85 said: mkuu hiyo njia ngumu legeza masharti kidogo.. Click to expand... hivyo havilegei labda ulegee wewe!
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Sep 8, 2024 #7 Sasa pesa zitakuwa na kazi gani!? Kuna watu hawana akili kabisa
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,621 Reaction score 131,531 Sep 8, 2024 #9 dronedrake said: toa women hapo nyeto inachosha Click to expand... Imekaaje tena mwenyekiti🤣
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Sep 8, 2024 #10 Dah
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 Sep 8, 2024 #11 Toa Kitanda Hiyo tv hapo ukutani Na hiyo meza hapo pembeni
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,621 Reaction score 131,531 Sep 8, 2024 #12 ras jeff kapita said: Sasa pesa zitakuwa na kazi gani!? Kuna watu hawana akili kabisa Click to expand... Za kujengea kaburi mkuu😁
ras jeff kapita said: Sasa pesa zitakuwa na kazi gani!? Kuna watu hawana akili kabisa Click to expand... Za kujengea kaburi mkuu😁
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,603 Reaction score 60,857 Sep 8, 2024 #13 min -me said: Imekaaje tena mwenyekiti🤣 Click to expand... "ntumie vocha tuchat whatsapp"
Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 7,924 Reaction score 7,392 Sep 8, 2024 #14 Betting 😭😭😭😭😭
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Sep 8, 2024 #15 min -me said: Za kujengea kaburi mkuu😁 Click to expand... Kwa hiyo watu wanatunza pesa za kujenga makaburi yao!!??
min -me said: Za kujengea kaburi mkuu😁 Click to expand... Kwa hiyo watu wanatunza pesa za kujenga makaburi yao!!??
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 3,713 Reaction score 11,612 Sep 8, 2024 #16 Toa betting, pombe, madem 😋
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,621 Reaction score 131,531 Sep 8, 2024 #17 ras jeff kapita said: Kwa huyo watu wanatunza pesa za kujenga makaburi yao!!?? Click to expand... Itakua mkuu 😁😁
ras jeff kapita said: Kwa huyo watu wanatunza pesa za kujenga makaburi yao!!?? Click to expand... Itakua mkuu 😁😁
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,621 Reaction score 131,531 Sep 8, 2024 #18 dronedrake said: "ntumie vocha tuchat whatsapp" Click to expand... Hahahah nipo kijiji cha simbilisi huku hata hakuna maduka😁😁
dronedrake said: "ntumie vocha tuchat whatsapp" Click to expand... Hahahah nipo kijiji cha simbilisi huku hata hakuna maduka😁😁
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,894 Reaction score 36,291 Sep 8, 2024 #19 Unatunza hili iweje sasa? Hapo cha kuepuka labda betting, unapata hela hunywi wala hugongi sasa hela ya nini?
Unatunza hili iweje sasa? Hapo cha kuepuka labda betting, unapata hela hunywi wala hugongi sasa hela ya nini?
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,662 Reaction score 9,974 Sep 8, 2024 #20 Mtaani kwetu kuna jamaa amevijumlisha vyoteee Na anafuraha kuliko aloachana na ata kimojawapoo