Ukitaka kutoboa kimaisha lazima uachanena na Wanawake kwanza?

Bola kufa masikini kuliko kukaa mwaka bila kula mbunye!!, NB; hata nkikaa huko kwenye sheria ntafukunyua tuuu!!! waulize watoto wa zenji habar yangu wanayo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hawa dada zenu weusi basi achana nao fanya mambo yako.
Kwa upande wangu my Lachi ni kichocheo cha maendeleo yangu.
80% ya wahindi hawana vyoo.

60% ya wanawake wa kihindi hawana access na pedi wakiwa kwny siku zao.

So wajifunze usafi kwanza(namna ya kutumia vyoo na kujiswafi baada ya kukata gogo/namna ya kutumia pedi wakiwa mwezini) then ndio watutafute ma nigga.
 
Mimi nimeshaamua kuishi kwa kwenda againist many myths/principles tulizoaminishwa kwny maisha yetu ya kibinadamu espec. kwny utafutaji wa riziki.

Siamini kama kuna 'njia moja ya kufikia kwny mafanikio' na siamini kama ninatakiwa nimuige fulani alifanya kitu gani kufikia mafanikio sababu nilishakatishwa tamaa sana khs mambo fulani na nikapewa mifano relevant kwanini lazima ni-fail ila nikakomaa fresh nakutoboa so naamini 'got to do things my own way'.

Anyway that's my life.
 
Nikweli ila tatizo ni pale kati...ukipakosa kwa muda mrefu unaweza kuacha duka wazi kupafata hata kwa umbali wa miles zote .. hasara kotekote


Sent using Jamii Forums mobile app
Bora uwe teja wa madada poa ambao unaenda kupunguza genye tu mkuu,maana wale hawana gharama ata kwa buku mbili unapata.unapiga bao lako moja safiii kabsaa,kuliko hawa pasua kichwa watakula pesa zako,mda wako yaan huwez piga hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kushiriki kitu ambacho kitakufanya uwe unatumia pesa ili kukipata na kuwa nacho. kuugawa muda wako. Hapana brother,bora uoe kabisa utapunguza gharama au komaa,ingawa kwenye kukomaa yataka moyo,kuna muda utafika "genye" zitakupanda mpaka hutawaza kitu isipokuwa ni kwa namna gani utapunguza genye zako.
 
Huu ujumbe wape dada zako wa huko unyanyembe wanuka jasho.
Hakuna Bharatian girl wa kukutafuta ewe ngozi nyeusi just on the blue moon.
 
Huu ujumbe wape dada zako wa huko unyanyembe wanuka jasho.
Hakuna Bharatian girl wa kukutafuta ewe ngozi nyeusi just on the blue moon.
Wajifunze kwanza kuvaa pedi then ndio waje kututafuta ma nigga.

Mademu wanatumia mpk husk sand kwny siku zao?So disgusting


"Only 12% of India's 355 million menstruating women use sanitary napkins (SNs). Over 88% of women resort to shocking alternatives like unsanitised cloth, ashes and husk sand.Incidents of Reproductive Tract Infection (RTI) is 70% more common among these women.”
 
Leta takwimu za bongo tulinganishe.
 
Kabisa kwa sababu unalipia huduma mnamalizana. Hawa Malaya wa mtaani ukizubaa atakufanya we ndo dingi mapenzi kidogo mizinga mingi.. Wanalostisha sana na ukiwaendekeza mafanikio utaishia kuyasikia kwenye redio
 

mafanikio au maendeleo ni yako wewe. Ukichanganya mahusiano/mapenzi/wanawake na kazi utajikuta kimoja kati ya hivyo hukipi attention inavyotakiwa na utalose. Mfano ukiwa mtu wa mapenzi sana utakutana na changamoto zake mpaka utaanza kupoteza mzuka wa kupiga kazi, huna mood and at the end of the day mafanikio yako yatachelewa zaidi na hao hao wanawake watakudharau zaidi na kukuita mwanaume suruali. Wanawake siyo wajinga wajihusishe na wewe wakuzalie watoto au waingie kwenye ndoa na wewe kama huna potential ya kuwasupport kila idara. Kwa kifupi wanawake ni wanahitaji huduma na huwezi kuhudumia kama huna maendeleo kiuchumi. Piga pending wanawake ufanye yako kwa maendeleo na faida yako utajikuta una nafasi nzuri ya kuchagua yeyote kwa mahitaji ya muda mfupi au mrefu bila kutetereka kabisa. Good day.
 
Ushauri murua.
 
Naona mnavyotiririka tu maujuzi.
 
Tafuta mke uoe, kisha endelea na biashara zako.
 
Siyo kweli,cha muhimu ni kujali muda tu.afu wanawake hawawezi kukufanya usifanikiwe hata siku moja labda kama unamahanisha Malaya,hata kama ni malaya nao wana mida yao.JALI MUDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…