Naomba uelewe kwanza Qur-an haina uhusiano na albadir, wala katika qur-an hakuna kitu kinaitwa albadir,na wala katika mafundisho ya uislam hakuna al badir sehem yeyote inapofundishwa,
Kwanza hakuna ukweli kama al-badir ina madhara yeyote ila tunachoamini huwa kweli,kwa sababu huyo anaekusomea albadir anasoma kitabu cha majina ya watu ambao walipigana katika vita ya Badri ndio maana kinaitwa al badir.ndani yake hakuna dua yeyote zaidi ya majina ya watu,ila kwa sababu tulishaamini toka enzi tunaumia kwa imani kuliko ukweli wenyewe
km watu wa huko imewashinda!!!!!!Nataka mnielekeze uzuuuri hiyo Toyo ilipo,nakuja huko mrima kujichukulia usafiri!
Yanatokea hayo.Njooni Zanzibar maeneo ya mchina mwanzo, kuna ngombe zaidi ya 20. hawana mwenyewe wanazurura tu mpaka manispaa imewashindwa.kila mwaka wanaongezeka. inasemekana kuna ngombe kama watatu waliibiwa miaka mingi kidogo nyuma. mwenyewe akawasomea Albadiri.walioiba wakapukutika, tokea miaka hiyo ngombe hawana mwenyewe wanazurura na kuzaliana tu mitaani.kila mtu anawaogopa.mbaya zaidi mwenye mali alishatangulia mbele ya haki.kwa wale wasiomini Quraan Tukufu waje wachukue mali za bure.au wakachukue hiyo Toyo.
Duh!Inabeba watu wangapi ama mzigo kiasi gani?Ya mchina?Samahani hata mimi ni mgeni mitaa ile isipokuwa leo nimemuuliza vizuri dereva wangu amesema panaitwa Yombo Dovya, vile vile nimefanikiwa kupata picha as objective evidence.
Jiulize kama ina muda karibu mwaka hapo basi itakuwa ilitelekezwa ikiwa mpya kabisa.Kweli ukishangaa ya Musa utaona ya firauni.
View attachment 69218View attachment 69219View attachment 69220
Nataka mnielekeze uzuuuri hiyo Toyo ilipo,nakuja huko mrima kujichukulia usafiri!
aiseeeee babaangu inaonekana ujasoma vizuri huu uzi rudia mara 3 ukija kuchukuwa upitie manzese ununue jeneza lako ili ukifa usiwape shida ndugu zako
weka na picha yake kabisa tutajua kama imepaki leo au mwezi uliopitaDuh! hiyo kali kwani aliesoma hilo arbadili ni nani? kama ni mwenye toyo si alitakiwa akachukue mali yake!!!
mimi hao nawalia kitimoto halafu nabeba mmoja baada ya mwingine. mia
Yanatokea hayo.Njooni Zanzibar maeneo ya mchina mwanzo, kuna ngombe zaidi ya 20. hawana mwenyewe wanazurura tu mpaka manispaa imewashindwa.kila mwaka wanaongezeka. inasemekana kuna ngombe kama watatu waliibiwa miaka mingi kidogo nyuma. mwenyewe akawasomea Albadiri.walioiba wakapukutika, tokea miaka hiyo ngombe hawana mwenyewe wanazurura na kuzaliana tu mitaani.kila mtu anawaogopa.mbaya zaidi mwenye mali alishatangulia mbele ya haki.kwa wale wasiomini Quraan Tukufu waje wachukue mali za bure.au wakachukue hiyo Toyo.
Tukisema hiyo dini ni ya shetani watu mapovu yanawatoka. Huhitaji kuwa na PhD kulitambua hilo.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un. Mwenyezi mungu akusamehe