UKITAKA KUPENDWA KWA HARAKA NA UMPENDAE?

Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
865
1,204
Ukitaka upate chochote kutoka kwa mtu unaehisi unampenda pana vitu viwili vya kufanya.

1) JIPIME UNA HAKI YA KUPENDWA NA YEYE

Mapenzi ni nguvu ya uvutano wa kihisia . hayachagui wala hayabagui ,

Haki ni uhalali wa kupata unachostaili.

unatakiwa kutengeneza vivutio vitakavyokupa uhalali wa kupendwa kwa mpenzi

(get to know him or her before crossing boundaries) haiwezekani kirahisi kupendwa wakati
hauna ukaribu,hamjawai kukutana
kwenye tukio lolote alafu ukatongoza ukakubaliwa bila kuonyesha vivutio flani (HAKI). hakuna mtu anaye

penda watu wachafu wa mavazi,tabia,mazungumzo , mawazo. PESA sio kigezo cha kupendwa kwa dhati

unaweza pendwa kwa dharula (emergency) . mapenzi ni zaidi ya ngono ni kupeana furaha kubadilishana

hisia kifupi kusisimuana , UWEZI KUPENDWA KAMA KILA SIKU UNALETA KERO TU.


2) UAMINIFU

Uaminifu ni kitendo cha kuthamini hali ya mwenzako kabla ya hali yako binafsi.

Mapenzi yananogeshwa na uaminifu hivi utajiskiaje pale mpenzi wako kwa mfano anakwambia nipo

sehemu fulani na ukaenda kwa kushitukiza na kweli ukamkuta inaleta raha na kunogesha penzi .

mapenzi hayapo kama uhaminifu hamna .


HAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAHA NAONGEA KAMA MTU VILE TULIO SINGLE KWELI TUME LAANIWA ALAFU UMENIAMINI ETI
 

Attachments

  • Opera Snapshot_2019-06-07_153657_www.instagram.com.png
    Opera Snapshot_2019-06-07_153657_www.instagram.com.png
    20.7 KB · Views: 59
  • WhatsApp Image 2019-05-18 at 10.27.21 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2019-05-18 at 10.27.21 PM.jpeg
    77.8 KB · Views: 59
Niwe mkweli hapa mapenzi siku hizi hakuna kuna kutumiana tu. Mwanamke atamtumia mwanaume kwa shida ya hela na mwanaume atamtumilia mwanamke kwa papuchi yake tu.


Nangatukaa 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mapenzi ya kweli yalikuwa zamani, kwa sasa ni kupeana maradhi tu.

By Ochu Sheggy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom