Ukitaka kuona umuhimu wa Vyama vya Upinzani pitia Ofisi za Serikali za Mitaa kwa sasa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,440
2,000
Tanzania inabadilika sana kisiasa, kwa sasa ofisi za mitaa zote watawala ni Chama cha Mapinduzi

Ukitaka kuona umuhimu wa wapinzani tembelea wanakotawala hawa CCM, yaani ofisi zimekuwa adimu sana. Hawakai ofisini wote wanabandika namba za simu tu ukifika uwapigie, ukimpigia anakwambia yupo mbali hapo anatengeneza mazingira utume nauli au akifika ujue katoka mbali kumbe alikuwa kwake na mkewe au hawala yake

Uongozi wa CCM upimwe kuanzia kijiji wanatafunyia nini huku chini

===
Soma hoja zaidi kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Viongozi Serikali za Mitaa
 

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,164
2,000
sifi leo,

Siyo Tanzania ya sasa wewe acha kudanganya watu..labda kama unaenda office za nchi nyingine na si hapa kwetu,kweni ni we peke yako unaye kwenda huko maofisini sisi hautuendi na hatuoni?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom