Ukitaka kuoga usiogope maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kuoga usiogope maji

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  WAPO WATU WANAOGOPA KUOGA TANGU WAKIWA AWAJAOA AMA KUOLEWA NA MPAKASASA WAMEOA AMA KUOLEWA BADO WAKIFIKA NYUMBAN JUOGA NI TATIZO KUBWA SANA

  Nirudi kwenye kichwa cha habari Yawezekana wewe ni mmoja wapo walioamua kuoa ama kuolewa huku wakiogopa ndoadoa si
  kunywesha watu walewe then muende peacock hotel ama hotel nyingine mkimaliza hapo ,Kinachofwata Hiyo ndio Ndoa
  Kuna wengi leo hii wanateseka kutokana na wrong decission,wapowalioamua kuoa ama kuolewa kutokana na sababu fulan
  1.Umri mkubwa'
  2.Kuchekwa sababu ya Uzee
  3.Kutoa Nuksi kwenye ukoo'
  4.Kufwata vinono alivyonavyo mwenzio ukijua baada ya Ndoa vyote ni vyenu
  Na sababu nyingine nyingi zingine kutokana na usitiri wa watoto walioamua kuingia kwenye jukwaa hili atuwezi kusema...........,
  Binafsi yawezekana umeshayaingia maji huku ukiwa unayaogopa hii ni kwa waanaotarajia kuwa na wenza wa milele nawashauri
  imefika wakati usiige mwenzio amekosea wapi ama anafanyannini wakati wako kuhakikisha matataizo ya mwenzako ayakutokei tena
  na hili ni kama tu umejiyatarisha kwa ajili ya Ndoa na mikeke yake na si kwenda kanisani kuonyesha watu unaweza kuweka pete kwenye kidole cha mwenzako huku ukishindwa kuitunza pete na yale uliyoyasema na kumwambia Mungu wako kama shahidi....

  Imefika wakati kukwambia usiogpe utaoa baada ya Muda gani lakini kama unaona kutoka Moyoni ujajiotayarisha na auwezi kuishi maisha ya Ndoa
  Ndugu yangu kaa kama useja mpka hapo utakapokuwa uko sawa..sipendi kusema usioe ama kuolewa la hasha sipendi kuona zaidi ukizaa watoto waklaenda kutunzwa na Babu yako kishumubndu huku aliekuzalisha akichagua Bar za sinza kuanzia jumatatu mpaka jumapili
  Ni Mapenzi yangu na Kwa Mungu akusaidie upate kuweza kuingia kwenye Ndoa ambayo sio tu uzae watoto bali uweze kuwa na akili jinsi gani ya kuishi na mkeo Baibo inasema nanyi wanaume Muwe na aakili jinsi gani ya kuishi na wake zenu

  Mungu awabariki
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Bado kitambo kidogo hata hizo ndoa zitaonekana si kitu............... kizazi hiki cha Dot Com kina mtazamo mwingine juu ya jambo hilo
   
Loading...