Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji1] [emoji2]Ndio mana nakupenda Davet wangu unajuwa wajibu wako
[emoji1] [emoji2]Ndio mana nakupenda Davet wangu unajuwa wajibu wako
Usije mikono mitupu.Thanks Dada aisee....mepamiss home
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani chupa ya kijani [emoji22]
Huwezi kuishi na wanawake kwa formula moja. Kila mmoja ana style yake watu inabidi wajifunze! What works for you its unlikely to work to someone else.Hawaeleweki sometimes unaweza ukamfanyia yote hayo lakini akakuona huna thamani
Perfect...na asikudanganye mtu kuwa wanawake ni wamoja wanafanana...Never on earthHuwezi kuishi na wanawake kwa formula moja. Kila mmoja ana style yake watu inabidi wajifunze! What works for you its unlikely to work to someone else.
Haaa haaa...pole mkuuunavyoiulizia kama mazuri vile hahaah
Ndio faida za kiben10 hizoYe anazo nyingi tu ananipa mm
Mhhh !!! ngashindwaa ....[emoji41][emoji41]Ewaaaaaaaaaa
Hawahawa wengi wao wanajua comand ndiyo kuongoza kumbe ni kupoteza muda na kufanywa zuzuMwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe mwanaume Mwenzangu kwa ufupi tu ni kwamba katika kipindi cha ndoa yangu yenye uhai wa takribani miaka kumi na moja sasa nilicho jifunza katika mahusiano Haya ukitaka Kumuweza Mwanamke, Usitumie nguvu kubwa sana katika kumuongoza Mwanamke kwa maana ya kuwa mkali kupita kiasi hapo wanaume wenzangu Mwanamke hautamuweza, Mwanamke anahitaji kupendwa au kuthaminiwa, Mwanamke anahitaji kukumbushwa kila mala kwa heshima no matter how many times umezungumza nae Mwanamke anahitaji kupewa tahadhali ya mambo kadha wa kadha, ukienda tofauti na hapo ndo mwanzo wa kufarakana.
Waitwe babadoKuna Wanaume wengine wanahitaji yote hayo kutoka kwa wake zao. ...tuwaitaje sasa?
Ni hao hao wasiojielewa ukanipe kichapo siku hiyo hiyo ndoa inavunjikaToo theoretical mkuu.
Huku Musoma kwetu, mwanamke bila kumpa kichapo kidogo anakudharau, halafu anakuona humpendi.
Hahaha [emoji23] [emoji23]Mmh, hebu kamuoe joyce kiria kwanza halafu u practice huo waraka wako akishaanza kukusaliti!
Ila kuchokana kupo mkuu.Kuishi na mwanamke ni hekima tu ndio zitakusaidia ila haimaanishi siku zote utaweza kuwa na hio hekima.
Hahahah huyo ana pepo mchafu, ina maana anataka agongwe na watu tofauti?Ila kuchokana kupo mkuu.
Leo nikiwa maeneo fulan nilishtuka kumsikia mama mtumishi akisema ina bore kuwa na mtu mmoja kila siku.